Mzee anaendesha RAV4 huku kavaa Helmet za pikipiki

Wengi wanaona ni Kituko lkn yupo sahihi 100%. Kikubwa kinachoua watu kwenye ajali za Magari ni Head Injury. Ndio maana hata Racing Cars wanavaa Helmet.
 
Helmet yenyewe imetengenezwa china inameguka kama ganda la yai
 
Niwazo zuri sana analotembea nalo huyo mzee wetu. Maana ukizingatia ni mtu mzima na pia hali ya jambo kama hilo niliwahi kumuona Mzungu Mmoja Airport pale ni bibi mkongwe na yeye alivaa helmet, nikauliza nikajibiwa safety first. Maana unaweza ukateleza na kupata ajali kichwani.
 
Kuna mzee mmoja mjeda alikuwa na Korando, alitoa viti vyote akaacha kiti cha dereva tu...

Kwa sababu hakutaka kupakia abiria kwenye gari yake, hata familia yake...
Korando ikitolewa seat daah si linakua pango kwa sura ile?
 
Umenikumbusha kwetu miaka ya nyuma kuna mzee mmoja alikuwa na Baiskeli aina ya Swala yeye kama anaendesha baskeli basi alikuwa akifika darajani anashuka mpaka ahakikishe amevuka daraja ndio aipande tena!

Duniani kuna vijimambo
Huyo alikuwa anaogopa asije akaangukia kwenye mto.
 
Duh! Yaani unapishana na kiroja halafu hapohapo anakuja mtu kukuambia sababu ya kiroja hicho! Kamba hizi ni za kufungia nguruwe.
 
Mzee amecopy madereva wa formula one
 
Upo fast. Yaani tumesimuliwa juzi wewe jana umekuja kupost. Juma alikuwa anatuuzia chai tu pale maskani usichukulie serious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…