Mzee anaingiza zaidi ya laki 3 kila siku

Imani rubaba

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
254
Reaction score
350
KUMBUKIZI πŸ“Œ

Hapa ni zaidi ya Miaka m3 nyuma ambapo tulimtembelea Mzee kwezi na akatueleza na kutusanua fursa inayopatikana Katika Ufugaji wa ng'ombe wa Maziwa.

Hapa alieleza jinsi ambavyo ng'ombe 10 anaowakamuq wanampatia zaidi ya lita 220 kwa siku na kwa bei ya kipindi kile alikua anauza kwa 1200. Sasa wewe binafsi unafahamu bei ya maziwa Kwa sasa?
Tunaposema ufugaji na kilimo kinalipa basi tunamaanisha kweli

---

πŸ“’ JIUNGE NA GROUP LETU LA MAFUNZO

(Kilimo & Ufugaji wa Kibiashara)

RUBABA MEDIA

Tunatoa:

βœ” Mafunzo ya vitendo yanayotokana na uzoefu halisi wa shambani
βœ” Ushauri wa kitaalamu kutoka kwa wataalamu na wafugaji waliothibitisha mafanikio
βœ” Maarifa ya kuongeza tija, uzalishaji na faida
βœ” Mbinu za kupunguza hasara zisizo za lazima
βœ” Mwelekeo wa kujenga kilimo na ufugaji wa kibiashara chenye ushindani sokoni

πŸ“© Hatua ya Kujiunga

πŸ“Œ Tuma ujumbe: NIUNGE
πŸ“ž WhatsApp: 0764 148 221

---

🌱 KUMBUKA

Mafanikio hayaji kwa bahati.
Yanajengwa kwa maarifa sahihi, mipango madhubuti, maamuzi yenye tija, na utekelezaji wa vitendo, sambamba na matumizi ya mbinu na teknolojia zilizoidhinishwa kitaalamu


#KilimoTanzania #UfugajiWaKibiashara #RubabaMedia #RubabaTV
#KilimoChaKisasa #UfugajiWaNguruwe #TijaNaFaida #Inawezekana

Your browser is not able to display this video.
 
Baada ya mafunzo kidogo ya kuingiza 300k kwa siku , ng'ombe zimeitwa wasp zikakamuliwe maziwa
 
Nataka mbwa wa kufuga. Mnao au wameisha?
 
JAMANI Samahan Sana NIMEKWAMA Leo NAOMBA Mwenye 5000 Anikopeshe Tafadhali Tokea Asubuh SijalAA na Sina Kitu Nitakurejeshea Utakaenisa
 
Nikopesheni ng'ombe akianza kuleta faida nafanya marejesho.
 
Mimi nafanya ufuga, niseme tu ufugaji sio lelemama ni swala lakujitoa na kuwekeza na usimamizi wa hali ya juu, kusema tu kwamba Ngombe 10 wakamuliwe lt 200 sio jambo la mchezo. Kuna misingi ya kufwata hapo ili uweze kuzipata hizo lt, na uwekeze hapo pesa ili uzalishaji uje, mwisho uwe na nidhamu na mradi ndio faida ioneka. Mtanisamehe kama nimemkwaza mtu lakini hilo nimelisema kwa kadiri ya uzoefu wangu. Mbarikiwe.
 
Kuna rafiki yangu amefungua kampuni yake inatoa Huduma yakufundisha wajasiriamali kufanya kilimo biashara.
Ajabu yeye Hana hata bustani ya tembele uwani mwake.
 
Upo sahii kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…