Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
- Thread starter
- #21
Usiniambie wanaofundisha muhumbili wote wana hospitalKuna rafiki yangu amefungua kampuni yake inatoa Huduma yakufundisha wajasiriamali kufanya kilimo biashara.
Ajabu yeye Hana hata bustani ya tembele uwani mwake.