Mzee anaingiza zaidi ya laki 3 kila siku

Kuna rafiki yangu amefungua kampuni yake inatoa Huduma yakufundisha wajasiriamali kufanya kilimo biashara.
Ajabu yeye Hana hata bustani ya tembele uwani mwake.
Usiniambie wanaofundisha muhumbili wote wana hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…