Mzee anategemea kupokea kiinua mgongo, lakini simwelewi elewi kabisa

Hii ndo SAUT ninayoijua Mimi.
 
Kila asubuhi mfute Viatu kuwa Mtoto mwema mfulie na kunyoosha Nguo atakufikiria akizingua njoo manga Mkata nikupeleke Kwa bibi mwenye kaniki jeusi na mapaka mengi kama mbuzi
 
Aisee... Umegeuka changudoa ????
 
Tatizo linaanza mpaka sasa bado unaishi kwa mzee wako.
 
Hivi babu wa miaka 61 na kibinti Cha miaka 25, nani anamrubuni mwenzake?



Uwezo wa kurubuni hauko katika umri.

Kamuulize Samson wa kwenye Biblia pamoja na kuwa baunsa kama John Cena lakini alirubiniwa na Mwanamke Delira.
 

Wakati mwingine tunazaa ng'ombe katika hali ya binadamu.
 
Nakushauri tafuta mume upewe gari, nyumba na hiyo simu uitakayo.
Muache mzee afurahie pesa na maisha yake.
Hutaki mzee apate mchepuko,ww unaweza kumtoa genye zake?
So wewe ndo umejitolea mzee akuoe? Nyie ndo majini yenyewe...
 
Nimefarijika sana kwa hii comment yako. Wengi wanajitoa ufahamu hawajui yanayowakuta wastaafu. Nyie mnahangaika na mzee miaka yote. Anakuja kustahafu kamchepuko ndo kanakuja kula mafao... Si sawa. Ni bora atugawie kila mtu na chake. Mama naye apewe chake.
 
Na ndivyo inatokea anaenda kula na michepuko. Akiishiwa anataka watoto wamlee....na lawama zinakuja kuwa mnamwacha baba yenu anateseka kumbe naye alitesa na michepuko.
 
Hii mipunga ndio inafanya sisi watoto wa kiume tuchukiwe na baba zetu
 
Nimegundua hamna kazi kama kulea, sikulaumu sana bali na mlaumu mzee wako hakukulea kwenye misingi ya kiume,umelelewa kimayai mayai.

Japo sikufahamu ila haijalishi una umri gani ila still una akili za kivulana, tafuta hela yako kwani hela ya wazazi wako sio yako na husiipangie mahesabu hata kama akiamua kuhonga still ni yake sio yako.
 
Utani

Umeanza vizuri ila kadri ulivyoendelea nikajua ni chai
 
Na ndivyo inatokea anaenda kula na michepuko. Akiishiwa anataka watoto wamlee....na lawama zinakuja kuwa mnamwacha baba yenu anateseka kumbe naye alitesa na michepuko.
Wewe ndie unaetaka kulelewa na uzee wote huo, hela zake hazikuhusu, na hata zikiisha ana mafao ya kila mwezi, bima yake ya afya anayo, nyumba za kipangisha, hatakutegemea wewe kamwe, pambana na familia yako, acha uchawi
 
Muue tu baba yako, hamna namna unaweza kumiliki mali yake akiwa hai
 
Mpo busy kuwacheka wabeba box wasiotegemea viinua mgongo vya wazazi wao...mimi hata sijui walipata kiasi gani na kimebaki kiasi gani Mungu ni mwema sana sikuwahi kufikiri hayo mambo hata wadogo hakuna anaewa hayo mambo wapo busy na mbio zao..mtu kapambana kakusomesha umepata akili harafu mali yake unaitamani hiyo sio sawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…