Sasa ndugu yangu twende taratibu,,kadri hii michuano inavyosonga mbele unakutana na quality tofauti na uliyokutana nayo mwanzo,,hao aly ahly tripoli unaowataja Kila mtu aliona uwezo wao,,uyo kibu unayemsema anatumia nguvu nyingi akili kisoda uwezi kutegemea kibu akupe matokeo kwenye mechi kama hizi,,uyo mukwala ni mchezaji wa kiwango cha kutegemea kimataifa? Uyo kapombe umri umeenda akili inataka mwili unakataa uwezi kutemtegemea eti akuvushe kimataifa labda michuano ya ndani yeye pamoja na kapombe wameshachokaaa!!!