njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 4,853
- 11,782
Fatilia pin pin si amepewa bonge la kiwanja Kigamboni hukomzee analeta mambo ya kindezi sana aisee, hivi wachezaji wote wametoa jasho jingi uwanjani alafu unaona watu wawili wanapewa mil 5 wewe unajisikiaje??
vipi kwa mussa pinpin camara ni lini atapata zawadi hizi za *******?? maana yeye kufunga au kuassist inaweza isitokee kabsa katika maisha yake yote akiwa simba!
Nimependa hii picha bila mabadiliko sipigi kura. NakaziaHabari za jioni wakulungwa.
Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali,
kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge yeye binafsi ili apate fedha alizoahidi huyu mzee. pls mzee huu upuuzi acha mara moja kuelekea mechi ya mkondo wa pili huko bondeni,
can you imagine ahoua lile goli dakika ya mwisho hakuwa na sababu ya kutaka kufunga yeye angemsogezea ateba akamaliza shughuli hapa Dar.
sasa tunahitaji tukapambane hasa bondeni kwa sababu za uchoyo wa baadhi ya wachezaji wanaotaka mafanikio binafsi.
mzee tunakuheshimu acha kutuvurugia timu bhana, toa ahadi kwa timu nzima.
nimemaliza
asalaim aleikum wa tawfiq
Kibu anaoffer ayo maguvu yake na energy ndio maana makocha wanapenda kumtumia ili arahisishe kazi kwa wengine lakini atumii akili kwenye final touch zake mwishowe anachoka anatolewa hana kitu cha ziadakwanini kila kocha anayekuja simba ni panga pangua kikosi cha kwanza?? kwanini timu ya taifa anaitwa kila mara na anacheza??
Uhakka mkuumkuu tuendeleze harakati za ukombozi popote unapopatq nqfasi
FantrauMoja kati ya mambo mengi yanayotuweka nyuma waafrica ni ubinafsi na uchoyo,hutaki mwenzio apate.
CR7 akiwa kwenye timu yake ya utotoni,timu yao ilipata ofa kutoka sporting CP,mchezaji atakaefunga goli mbili anachukuliwa na sporting CP ya Ureno.
Cr7 akapata goli 1 na mwenzie akapata 1,mechi ikiwa inaendelea mwenzie CR7 akapata nafasi ya wazi ya kufunga lakini hakufunga akampa pasi Ronaldo ili CR7 awe na magoli mawili achukuliwa na sporting CP.
Albert Fantrau hana kisokorokwinyo.Fantrau
Huyu Muhindi Koko Azim Dewji ni Mpumbavu Mmoja Mvi, kibiashara Ameshachoka Sasa hivi Anataka kurudi kwenye Mpira kinyemera, Amekuwa Yeye Kila Siku Msemaji wa Simba Badala ya Ahmed Ally, huyu Muhindi Si Alituhuza Mechi ya Fainal na Stella Artois Mwaka 93 Kwa Ahadi Zake za kutoa Magari ya Kia Tukafungwa Gori 2 Bila Mbele ya Mzee Mwinyi, huyu Gabacholi Atulie TuNakubaliana na wewe, mbona ghafla huyu mzee amekuwa na usemaji mwingi na ahadiahadi za ovyo? Asituletee upumbavu wake, bado tuliokuwepo 1993/94 na ahadi za Kia tupo hai na njama zake. Pumbaf, muangalieni kwa makini huyo ponjoro maana kesha Anza kuingiza Simba na mambo ya siasa.
MO hata yeye ajichunge Simba ilipo sio kama Yanga ya kutetemekea watu. Jina limekuwa halafu analeta uccm wake ndani ya club wakati ni muda sasa Simba imekuwa Yatima?
Kama simba ni low quality basi yanga ni hamna kitu ksbisaSasa ndugu yangu twende taratibu,,kadri hii michuano inavyosonga mbele unakutana na quality tofauti na uliyokutana nayo mwanzo,,hao aly ahly tripoli unaowataja Kila mtu aliona uwezo wao,,uyo kibu unayemsema anatumia nguvu nyingi akili kisoda uwezi kutegemea kibu akupe matokeo kwenye mechi kama hizi,,uyo mukwala ni mchezaji wa kiwango cha kutegemea kimataifa? Uyo kapombe umri umeenda akili inataka mwili unakataa uwezi kutemtegemea eti akuvushe kimataifa labda michuano ya ndani yeye pamoja na kapombe wameshachokaaa!!!
Moyo mweupe au sio?Albert Fantrau hana kisokorokwinyo.