Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Mkapa mwenyewe amesadiki kuwa maji yanakorogeka kwa huu upuuzi unaofanywa na ccm.Nikiwa kama mwanaccm nakubaliana kabisa na kauli hii ya mwenyekiti mstaafu wa CCM mzee Mkapa..... Kwamba CCM inaamini Tanzania bado iko kwenye mfumo wa chama kimoja.
Ni ukweli mchungu
Maendeleo hayana vyama!
Unaa gani sasa? Kusema kweli ni unaaa?Acha unaa, umesoma hicho kitabu umeona alichokieleza kuhusu hilo swala?
Kwa hiyo wewe ni lofa?Walioitwa na malofa wengi wao wameshabadilika kimtazamo baada ya kugundua kuwa zungusha mikono ilitaka nchi iuziwe mbuzi kwa mlio.
Ila JK sekta ya yamkasi alimuachia Bilal hadi akawa anatembea nao kwenye kotiAwamu ya 4 Dr. Bilali alikuwa ndiye mzee wa mkasi! Safari hii mzee baba kaamua kukamatia fursa mwenyewe! Mauzinduzi bila kikomo.....
Imekuwaje tena mbona mnatushtua?Duuh Jiwe alinyweshwa sumu na nani?
Nadhani ni protocol mkuu,Jamaa alijiandaa akashangaa anapitwa kama upepoJPM mbona hajampa mkono Bashite..waunganishaji doti niaje
Magu hajuagi ku recognize uwepo wa mtu bila kutumia maneno wanayotumiaga wenzie.ndiyo..amesema nawaona hapa kina cheyo..zito..akawa anajicheksha zito kimyaaaaa..alimaanisha upinzan
Nani alitishiwa maisha ?Naona Mh. Rais katema nyongo za moyoni, usimuone mtu kakaa pahala ujue kapitia mengi.anaijua serikali , anawajua wajanja wajanja....
Swala la harakati zake za siasa, kutishiwa maisha, kunyweshwa sumu kunusuru Kifo.
Muingiliano na dharau za enzi zile za makatibu, mawaziri na manaibu katika baraza la mawaziri, kupelekwa mahakamani nk....
Sasa si hilo ni tukio la mzee mkapa!
!
Mzee Mkapa Mzee Mkapa Hotuba Nzima Aisee
Bora angekufwa tu huyo tusingepata hizi shida tulizonazo sasaNakumbuka wakati huo aliniita askari namba Moja wa Miavuli, Lakini ukweli baadhi ya Mawaziri walichukia hadi kupelekea Mimi kunyweshwa sumu Dodoma ... Magufuli.!
Happy birthday member Sifi leoLeo ni siku yetu ya kuzaliwa kwangu na kwa Rais wa awamu ya tatu.
Mimi nmefikishs 35 yeye ametimiza miaka 81.wote tunatakiwa kupongezwa.
Karbuni mnirakie.
Ndilo tatizo la waafrika, be it a president or a lumpen! Nadhani vitabu vinatokana na high level academic intellect, hivyo ni vema ukamuita renowned Proffessor from a world class higher learning institution akakizindua. Sasa unamuita mtu ambaye anatuhumiwa kughushi PhD na Ben Saanane, halafu unadhani atakisoma academician nani? Labda wakipeleke chuo cha CCM johnthebaptistMzee Mkapa hakuona watu wa kuzindua kitabu chake? Mengine ni kujiletea mikosi tu.