Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Awamu ya 4 Dr. Bilali alikuwa ndiye mzee wa mkasi! Safari hii mzee baba kaamua kukamatia fursa mwenyewe! Mauzinduzi bila kikomo.....
Ila JK sekta ya yamkasi alimuachia Bilal hadi akawa anatembea nao kwenye koti
 
Hongera Mhe Mkapa kwa kazi hii adhimu ya uandishi ya Historia yako na yale uliyoyafanya.
Natarai pale uliposema ''Mapungufu yako ya kimaamuzi kwa taarifa ulizopewa ambazo wakati mwingine hazikuwa sahihi",Utataja pia Mauwaji ya ZANZIBAR
 
.ndiyo..amesema nawaona hapa kina cheyo..zito..akawa anajicheksha zito kimyaaaaa..alimaanisha upinzan
Magu hajuagi ku recognize uwepo wa mtu bila kutumia maneno wanayotumiaga wenzie
Yeye akifika sehemu ya tukio ndio huanza kuangaza waliopo,matokeo yake huwataja bila order of seniority
 
Naona Mh. Rais katema nyongo za moyoni, usimuone mtu kakaa pahala ujue kapitia mengi.anaijua serikali , anawajua wajanja wajanja....

Swala la harakati zake za siasa, kutishiwa maisha, kunyweshwa sumu kunusuru Kifo.

Muingiliano na dharau za enzi zile za makatibu, mawaziri na manaibu katika baraza la mawaziri, kupelekwa mahakamani nk....
Nani alitishiwa maisha ?
Kama ni magu basi wahusika watakua wameshashughulikiwa
 
Happy Birthday my Favorite Former President,Long Live to blow 100+ candles.
 
Mzee Mkapa hakuona watu wa kuzindua kitabu chake? Mengine ni kujiletea mikosi tu.
Ndilo tatizo la waafrika, be it a president or a lumpen! Nadhani vitabu vinatokana na high level academic intellect, hivyo ni vema ukamuita renowned Proffessor from a world class higher learning institution akakizindua. Sasa unamuita mtu ambaye anatuhumiwa kughushi PhD na Ben Saanane, halafu unadhani atakisoma academician nani? Labda wakipeleke chuo cha CCM johnthebaptist
 
Back
Top Bottom