Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Nakumbuka wakati huo aliniita askari namba Moja wa Miavuli, Lakini ukweli baadhi ya Mawaziri walichukia hadi kupelekea Mimi kunyweshwa sumu Dodoma ... Magufuli.!
 
Hivi vitabu vyao havitusaidii kitu maana wanaandika ambayo hayatusaidii
 
Hivyo sasa na mimi nimejifunza kutowasifia Mawaziri wasije wakachukiwa kama Mimi na kuhatarisha maisha yao.!
 
Duuh aisee JPM alinyweswa sumu Dodoma wakati ni waziri.........
 
Nakumbuka wakati huo aliniita askari namba Moja wa Miavuli, Lakini ukweli baadhi ya Mawaziri walichukia hadi kupelekea Mimi kunyweshwa sumu Dodoma ... Magufuli.!


!
!
Mbona Siku sikia Mtu Yoyote Kuchuliwa Hatua? Hii Chai Tu
 
Kila boss ana boss wake boss wa Magufuri ni Mkapa nyuma ya pazia Mkapa anaratibu kila kitu watu wanafurahia kuona na kusikia kile walichopangiwa Mkapa anayo mengi ya kujibu kuhusu hii nchi ila anazuga kama hayupo vile mm namwangalia tu.
Nabaki nacheka.
 
Wakati nataka kugombea uraisi 2015 nikaenda kwa Mzee Mkapa, lakini bahati Mbaya wenzangu walishaenda wote ikabidi niende hivyo hivyo, Mzee Mkapa akanijibu kama unadhamira ndani ya moyo wako utashinda hivyo mtangulize Mungu.
 
Naona Mh. Rais katema nyongo za moyoni, usimuone mtu kakaa pahala ujue kapitia mengi.anaijua serikali , anawajua wajanja wajanja....

Swala la harakati zake za siasa, kutishiwa maisha, kunyweshwa sumu kunusuru Kifo.

Muingiliano na dharau za enzi zile za makatibu, mawaziri na manaibu katika baraza la mawaziri, kupelekwa mahakamani nk....
 
Mzee Mkapa ni Mwanadiplomasia na Msomi mzuri wa kipekee. Magufuli.!
 
JK alikuja akamnyang'anya mgodi wa Kiwira. Lakini huyu Mkapa alikuwa mtu mmoja mtata sana. Hadi leo hajuti kwa mauaji ya wananchi yaliyofanyika Mwembechai na Pemba.
Acha unaa, umesoma hicho kitabu umeona alichokieleza kuhusu hilo swala?
 
Back
Top Bottom