Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakumbuka wakati huo aliniita askari namba Moja wa Miavuli, Lakini ukweli baadhi ya Mawaziri walichukia hadi kupelekea Mimi kunyweshwa sumu Dodoma ... Magufuli.!
Duuh aisee JPM alinyweswa sumu Dodoma wakati ni waziri.........
Bila kusahau ujenzi wa majengo pacha BOT.Mgodi wa Kiwira (coal mine) sijui itakuwa ukurasa wa ngapi!
Walioitwa na malofa wengi wao wameshabadilika kimtazamo baada ya kugundua kuwa zungusha mikono ilitaka nchi iuziwe mbuzi kwa mlio.Huyo Mkapa aliwaita watz ni Malofa. Hivi malofa wataweza kusoma hicho kitabu chake?
1. Mzee wa kuita wananchi malofa.
2. Engineer wa mauaji ya Mwembechai na Pemba
3. Mastermind wa EPA
4. Mmiliki wa ANBEN
Acha unaa, umesoma hicho kitabu umeona alichokieleza kuhusu hilo swala?JK alikuja akamnyang'anya mgodi wa Kiwira. Lakini huyu Mkapa alikuwa mtu mmoja mtata sana. Hadi leo hajuti kwa mauaji ya wananchi yaliyofanyika Mwembechai na Pemba.