Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Mzee Benjamin Mkapa asherekea siku yake ya kuzaliwa kwa kuzindua kitabu chake cha 'My Life, My Purpose'

Sasa nimeelewa kwanini Rais Magufuli hana huruma na mafisadi, kwa kweli majambazi ndani ya CCM siyo ya kuwachekea.

Najiuliza tu waliwezaje kumtumia gavana Balali na kumtapeli mzee Mkapa kisha kutokomea na mzigo wa EPA.

Pia nimeelewa kwanini mstaafu Kikwete aliyataka yale majambazi ya EPA yarejeshe fedha walizoiba, kumbe walikuwa wanaccm. Kiukweli baada ya kumsikia mzee Mkapa alivyohudhunishwa na utapeli aliofanyiwa na majambazi kwa kisingizio cha kufadhili CCM kwenye kampeni za uchaguzi, Nimesikitika sana.

Leo nimemuelewa vizuri RC Albert Chalamila wa Mbeya aliyependekexa ianzishwe Magufuli Ruling Party kama mbadala wa CCM, kwa kweli ujambazi aina ya EPA hauvumiliki.

Mungu Ibariki CCM " mpya"

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama magufuri ana nia dhati ya kupambana na majambazi yaliyoko ndani ya ccm alirudishe mchakato wa katiba mpya la sivyo atakuwa anatwanga maji kwenye kinu
 
Tukisema CCM Ni chama Cha Majambazi hatudanganyi wala kuwasingizieni
 
Yeye pia alikua mbabe kama jiwe anavyofanya sasa,wasaidiz wake wakisita kusaini kitu chenye kutia hofu,yeye anasema lete hapa,anasaini mwenyewe na hela inatoka.
 
Ulichojibu ni kumtenganisha na hayo matukio. Baada ya mauaji yale alikuja kwenye TV katika hotuba yake na kusifu hatua na kazi ya Jeshi la polisi.
Kuhusu EPA ,kichaka cha kujificha ni kile kile kuwa ALISHAURIWA VIBAYA. Katika dhana ya uwajibikaji, he goes down the road with the rest.
Pathetic ni wewe ambaye hujui nimejibu nini
Acheni ujinga
 
Na kuhusu epa amesema watu walimsaliti na kumlaghai akubali hayo ma-mikataba
Alichukua hatua gani baada ya kugundua alikuwa tricked kwenye hiyo mikataba? How about zile hela za rushwa za misamaha ya sukari as orchestrated by Idd Simba? How about Kiwila? Huyu nae ni Jizi sugu tu na hawezi kujitetea sasa
 
Ccm mpya? IPI hio? Ule wimbo mnaosema.CCM ni ile ile umeishia wapi?/
Sasa nimeelewa kwanini Rais Magufuli hana huruma na mafisadi, kwa kweli majambazi ndani ya CCM siyo ya kuwachekea.

Najiuliza tu waliwezaje kumtumia gavana Balali na kumtapeli mzee Mkapa kisha kutokomea na mzigo wa EPA.

Pia nimeelewa kwanini mstaafu Kikwete aliyataka yale majambazi ya EPA yarejeshe fedha walizoiba, kumbe walikuwa wanaccm. Kiukweli baada ya kumsikia mzee Mkapa alivyohudhunishwa na utapeli aliofanyiwa na majambazi kwa kisingizio cha kufadhili CCM kwenye kampeni za uchaguzi, Nimesikitika sana.

Leo nimemuelewa vizuri RC Albert Chalamila wa Mbeya aliyependekexa ianzishwe Magufuli Ruling Party kama mbadala wa CCM, kwa kweli ujambazi aina ya EPA hauvumiliki.

Mungu Ibariki CCM " mpya"

Maendeleo hayana vyama!
 
Kamtwisha zigo gavana wa benki kuu wakati huo zigo la EPA.
Bahati mbaya gavana yule kesha "jifia" hivyo tumepewa hadithi ya upande mmoja. Kisichopingika kama nimemsikia vizuri BWM hela zile zimekwenda kutumiwa kwenye uchaguzi mkuu. Yaani CCM kwa njia wanayoijua waliiba hela BoT na zikatumika kumuingiza JK ikulu (hii ndio tafsiri yangu).
Tusubiri kitabu kingine kitueleze hela za Escrow zilitumika wapi na wapi.
 
Back
Top Bottom