Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Pathetic ni wewe ambaye hujui nimejibu niniNa wewe unaamini kuwa hakuna MKONO wake katika haya! Pathetic
Acheni ujinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pathetic ni wewe ambaye hujui nimejibu niniNa wewe unaamini kuwa hakuna MKONO wake katika haya! Pathetic
Ccm = Chama cha majambazi! Hakuna msafi mule, hata huyo jiwe ni mchafu sana!
Hapa amekwambia kilichoandikwa,sio maoni yakeNa wewe unaamini kuwa hakuna MKONO wake katika haya! Pathetic
Pathetic ni wewe ambaye hujui nimejibu nini
Acheni ujinga
Pathetic ni wewe ambaye hujui nimejibu nini
Acheni ujinga
Alichukua hatua gani baada ya kugundua alikuwa tricked kwenye hiyo mikataba? How about zile hela za rushwa za misamaha ya sukari as orchestrated by Idd Simba? How about Kiwila? Huyu nae ni Jizi sugu tu na hawezi kujitetea sasaNa kuhusu epa amesema watu walimsaliti na kumlaghai akubali hayo ma-mikataba
Awamu hii wanakamatwa!"Tukiwakamata hawa nchi itatikisika,"asema bwana
Sasa nimeelewa kwanini Rais Magufuli hana huruma na mafisadi, kwa kweli majambazi ndani ya CCM siyo ya kuwachekea.
Najiuliza tu waliwezaje kumtumia gavana Balali na kumtapeli mzee Mkapa kisha kutokomea na mzigo wa EPA.
Pia nimeelewa kwanini mstaafu Kikwete aliyataka yale majambazi ya EPA yarejeshe fedha walizoiba, kumbe walikuwa wanaccm. Kiukweli baada ya kumsikia mzee Mkapa alivyohudhunishwa na utapeli aliofanyiwa na majambazi kwa kisingizio cha kufadhili CCM kwenye kampeni za uchaguzi, Nimesikitika sana.
Leo nimemuelewa vizuri RC Albert Chalamila wa Mbeya aliyependekexa ianzishwe Magufuli Ruling Party kama mbadala wa CCM, kwa kweli ujambazi aina ya EPA hauvumiliki.
Mungu Ibariki CCM " mpya"
Maendeleo hayana vyama!
Bahati mbaya gavana yule kesha "jifia" hivyo tumepewa hadithi ya upande mmoja. Kisichopingika kama nimemsikia vizuri BWM hela zile zimekwenda kutumiwa kwenye uchaguzi mkuu. Yaani CCM kwa njia wanayoijua waliiba hela BoT na zikatumika kumuingiza JK ikulu (hii ndio tafsiri yangu).Kamtwisha zigo gavana wa benki kuu wakati huo zigo la EPA.