Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!.

Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie .

Screenshot_20251015_154105~2.jpg

.
 
Kwanini Captain Tesha alikuwa ameivaa ile barret inside out alikuwa anamaanisha nini kwa wenye kujua military codes please tujuzeni? jambo la pili mbona alikuwa anayaongelea yaleyale "regurgitation"ya Comredi Polepole.

Povu yes matusi no
 
Back
Top Bottom