Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

Mzee Butiku alimkataa Cap Tesha sababu ya ndevu. Haya sasa huyu hapa Mwanajeshi Mzanzibar mwenye ndevu

Tesha sio mwanajeshi pale alipo. May be alikuwa au anatumia jina la mtu aliyewahi kusajiliwa na jeshi. Pale akipo mpaka kutoa video sio mwanajeshi. Na unavyoona ile video kuna perspective inaichambua ile video kuw alilazimishwa ndo mana alikuwa anaonekana ana wasiwasi nae anasoma fact sehem aliyoandikiwa.

Hakuna mwanajeshi wa kuipinga dola mana kiapo kilichopo ni kuilinda na kuitetea. Mwananchi anatokea kama mtu wa mwisho mana yeye ndo aliyemchagua mwenye dola whether amepatikana kwa wizi au la
Maelezo yako ni hafifu; na hasa hiyo mistari ya mwisho inaonekana hujui unacho andika juu yake.

Lakini la muhimu kwangu, hebu tueleze hizi picha zilizomo kwenye mada hii; hawa ni wana jeshi gani hawa, unajuwa?
 
Jeshi likaushaje ssa? Jeshi halijihusishi na tuhuma au shughuli za kisiasa! Haliwez linapokuja suala kama lile haliwez kunzungumza mtu kama mwanasias. Jeshi litazungumza general! Jwtz haiwez kuwa na ajenda zozote zinazoshabihiana na siasa na uongozi mana ziko chini ya dola. Dola inaeleweka ni nani.... ulitaka jeshi liseme wazi kuwa tesha sio mwanajeshi au mwanajeshi aliyekengeuka?
Ndivyo inavyotakiwa na sio kuishia hapo tu akamatwe kwa kulichafua jeshi
 
Ile video ya leo ya Mulunga imenifiksirisha sana kama kweli maneni yametoka jeshi na kubariki haya
Je Ni Usalama au Polisi ila ndo wale tuloambiwa ni UVVCM watakaovalishwa Sare za JWTZ katika jitihada za Kuzima Maandamano
 
Back
Top Bottom