Nini kimekusukuma kuuliza swali hili?Kwanini Captain Tesha alikuwa ameivaa ile barret inside out alikuwa anamaanisha nini kwa wenye kujua military codes please tujuzeni jambo la pili mbona alikuwa anayaongelea yaleyale ya Comredi Polepole.
Povu yes matusi no
Halafu tulishasema hiyo picha ya Lisu hapo toa, weka hata picture ya Abdul au mwijaku itakufaa sana maana ndio wanaendana na akili uliyonayo.