Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
☺️🤣Butiku atasema hy video ni AI 😂
Asingevaa Gwanda za JWTZLabda ni mkufunzi kutoka Armenia au Kuwait.
🤣🤣
Butiku anazeeka vibaya sana yule mzeeUkiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!.
Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie .
View: https://youtube.com/shorts/iBrPVribO7A?si=ni48n41hQnwXkeuu
View attachment 3489024
.
View attachment 3489025
Butiku aliweweseka tu maana anatambua mtiti aliokumbana nao kaka yake jeshi lilipoasi 1964Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!.
Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie .
View: https://youtube.com/shorts/iBrPVribO7A?si=ni48n41hQnwXkeuu
View attachment 3489024
.
View attachment 3489025
Huyo ni msudani
Mbona jeshi halijakanusha?Mkiambiwa mnabisha, Tesha pale ana kasoro nyingi sana zaidi ya ndevu. Wanajeshi tunaelewa anaesikia na asikie