Maelezo yako ni hafifu; na hasa hiyo mistari ya mwisho inaonekana hujui unacho andika juu yake.Tesha sio mwanajeshi pale alipo. May be alikuwa au anatumia jina la mtu aliyewahi kusajiliwa na jeshi. Pale akipo mpaka kutoa video sio mwanajeshi. Na unavyoona ile video kuna perspective inaichambua ile video kuw alilazimishwa ndo mana alikuwa anaonekana ana wasiwasi nae anasoma fact sehem aliyoandikiwa.
Hakuna mwanajeshi wa kuipinga dola mana kiapo kilichopo ni kuilinda na kuitetea. Mwananchi anatokea kama mtu wa mwisho mana yeye ndo aliyemchagua mwenye dola whether amepatikana kwa wizi au la
Ndivyo inavyotakiwa na sio kuishia hapo tu akamatwe kwa kulichafua jeshiJeshi likaushaje ssa? Jeshi halijihusishi na tuhuma au shughuli za kisiasa! Haliwez linapokuja suala kama lile haliwez kunzungumza mtu kama mwanasias. Jeshi litazungumza general! Jwtz haiwez kuwa na ajenda zozote zinazoshabihiana na siasa na uongozi mana ziko chini ya dola. Dola inaeleweka ni nani.... ulitaka jeshi liseme wazi kuwa tesha sio mwanajeshi au mwanajeshi aliyekengeuka?
Mkiambiwa mnabisha, Tesha pale ana kasoro nyingi sana zaidi ya ndevu. Wanajeshi tunaelewa anaesikia na asikie
Wanaomjua wanasema ni mtu wa totoz hatari. Tena wabichi ndio zake.Ameshazeeka, muacheni
Je Ni Usalama au Polisi ila ndo wale tuloambiwa ni UVVCM watakaovalishwa Sare za JWTZ katika jitihada za Kuzima Maandamano
Maneno sio ya Jeshi, Jeshi Huwa haliandiki WARAKA.Ile video ya leo ya Mulunga imenifiksirisha sana kama kweli maneni yametoka jeshi na kubariki haya
Hili jeshi nalo lishakua na walakini halafu gafla yule msemaji kawa mwingine.Maneno sio ya Jeshi, Jeshi Huwa haliandiki WARAKA.
Nakwambia hawana MVUTO TENA!Ukiitazama hii video, Wanajeshi wetu wote hawana NDEVU!!.
Ila huyu kwanza ana Ndevu ,alafu ni yeye pekeake aliyevaa kitofauti na wenzie .
View: https://youtube.com/shorts/iBrPVribO7A?si=ni48n41hQnwXkeuu
View attachment 3489024
.
View attachment 3489025