The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Kafanyaje? habari yako ipo nusuGT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.
Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.
Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Very trueUsimwamini mtu mwenye njaa
Kasema "samia ni rais bora kuliko maraisi wote, Tesha apuuzwe"Kafanyaje? habari yako ipo nusu
Bora tumpuuze yeyeKasema "samia ni rais bora kuliko maraisi wote, Tesha apuuzwe"
Yes wazee hawana msaadaBora tumpuuze yeye
Wanakemea wakiwa na njaaGT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.
Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.
Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Mzee mnafiki huyu anadhani hatujamshtukia kuwa kashalambishwa na kina Abdul na Mama yake.GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.
Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.
Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Mzee bado anaupenda ugali anaopewa na Wahuni wasije wakamkatia mrija wakeKafanyaje? habari yako ipo nusu
Action sio hio iliyoanzishwa wewe unataka Action gani? Yeye alichotakiwa ni kuwekea mkazo vijana acheni kua mabwege pambaneni zaidi ya hapo mlipoSina cha kumdai huyo mzee kasha sema sana hakuna action inachukuliwa na vijana
Hahaha Mzee nimemuheshimu ila akaangalie tena ile clip kisha ajitafakari labda alisahau kumeza dawa zake za KisukariKasema "samia ni rais bora kuliko maraisi wote, Tesha apuuzwe"
Kaanya kayajazaKafanya nini
Haaa! Labda qnasingiziwa huyu mzee. Kwamba amesema aliyepo ni Bora kuliko hata Baba wa Taifa?Kasema "samia ni rais bora kuliko maraisi wote, Tesha apuuzwe"