Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

Mzee Butiku alituasa vijana tujihadhari na watawala wahuni leo hii naye kageuka kuwa Muhuni.

Usimwamini mtu mwenye njaa

Sijui kama ni njaa. Butiku ni generation ya Nyerere administration,⁸ 9th waliishi kwa njaa, walizoea njaa, na pamoja na njaa hawakuuza nchi, na hawakujiuza kwa mapimpu wanaobananga watu wa Afrika.

Tatizo wanaenda na upepo, hawana principle.

Butiku ukimuweka chini ya Nyerere anakuwa muadilifu. Ukimuweka chini ya Samia anakuwa jangili.

Uadilifu hauko mioyoni. Hata Jakaya alikuwa muadilifu chini ya Nyerere, alikuwa na maisha ya kawaida sana, aikuwa naibu waziri, akitoka kazini anampitia mkewe Mwalimu Kikwete Magomeni shule, pale 5 star kwa Shehe Yahya, yani wana gari moja, la serikali.

Watu principled katika mazingira yeyote yale, kama kina Joseph Sinde, wachache sana Afrika.
 
Kuanzia leo nimemdharau sana huyu mzee ... kumbe ni li nafiki hivi sitolisikiliza tena
 
Mwamini Mungu, watu wanabadilka, wapo wanaonekana wapo na wananchi kumbe njaa tu, wakishiba wanageuka.
 
GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.

Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.

Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Kabla ya kumuhukumu tunapaswa kuvaa viatu vyake .

Kila mtu hufanya maamuzi kutokana na maandalizi yake , na ikitokea upo out of timing siyo ufala kuungana na maadui kwa sura ya kujisalimisha .

Tukitazama kwa nje ,naitazama kauli yake kwa sura tatu :-

1. Yawezekana hana uhakika na namna misheni itakavyoweza kufanikiwa ,so ikitokea imefeli nini itakuwa hatima yake.

2. Anaweza kuwa amekubali kuungana nao kimwili kwasababu mbali mbali likiwemo shinikizo kutoka upande unaotaka awaunge mkono .

3. Kupambana na adui ukiwa ndani (the enemy within) kitu ambacho ni moja kati ya mbinu bora sana yakimedani .

Tusiwe wepesi wa kuhukumu ,vita bado mbichi hii ,siyo kila mpiganaji anapaswa kuvaa gwanda.

Kwa nyongeza tu .

Lengo la hii vita nikulirejesha Taifa kwenye misingi , hii pressure inayofanywa mitamdaoni nikuutiiisa mfumo ili ujue Kuna mahali unejengeuka na hivyo unapaswa kujitafakari na siyo vinginevyo kama inavyodhaniwa na wengi .

Ukweli usiyopendwa kusikia na wengi ,uko hivi

CCM bado inayo nafasi ya kuendelea kutawala ikiwa tu itataka ifanye hivyo .

Ukitaka kunielewa ,jenga picture hii , vipi leo kama CCM ikakubali kurejea ule mchakato wake wa kura za maoni na akapatikana mgombea mwingine tofauti na Samia,unadhani hizi kelele zikizopo sasa zinaendelea kama zilivyo?

Mimi siyo mwanachama wa chama chochote na najua kunawengi tu wa aina yangu ,lakini siyo waumini wa siasa zisizoheshimu misingi ya utu na kanuni kama ifanyavyo CCM .

Ubanganyaji wa CCM umeamsha hisia kavu kwa wengi kiasi cha kutamani Bora hata ikaondoka madarakani kuliko kuendelea kuwa watu ,kutesa watu na kuminya demokrasia ya vyama vya siasa .

Mimi kwangu ustawi wa vyama pinzani naona ni moja ya nguzo kubwa sana kwa musktakabali bora wa Taifa letu.
 
Ndivyo siasa zilivyo, kuchanganya na kubananga maneno ni jambo la kawaida, uchaguzi ni wako kunyoa au kusuka...
 
GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.

Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.

Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Imenisikitisha sana....yaani na uzee wote huo amegeuka na kuwa Mwijaku?
 
GT
Waafrika tunashida kubwa sana vichwani mŵetu that is why hatusongi mbele njaa inatufanya tuwe vigeugeu.

Mzee Butiku alishawahi kukemea hadharani dhidi ya viongozi makanjanja na wahuni akisema vijana tusiwe waoga hata kama uhai wetu utakuwa hatarini.

Ninachokiona wahuni wamemweka mfukoni naye kawa Mhuni vilevile na Mzee wa hovyo kama akina KIKWETE. Vijana tupambane wenyewe hawa wazee hawana vya kupoteza washakula maisha na wanalipwa na CCM.
Naye ni muhuni anatakiwa akalie kisu
 
Mdau tatizo 🤑🤑🤑🤑🤑
 
Back
Top Bottom