butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,640
- 7,943
Kwaiyo wewe unajua Siri za nchi kuliko Butiku?Wewe hujazaliwa wenzako wapo Ikulu wanaongoza nchi,kwani hayo Mashirika na Rasilimali mnazo uza au kama mnavyopenda kusema kukodisha na kubinafsisha ni akina nani waliyaanzisha na kuyasimamia!!Inasikitisha Sana...yaani mwaka 2023 mtu anamsikiliza Butiku ..,Shivji ..
Ukiuliza unaambiwa hawa wazalendo....as if uzalendo ndo qualifications za kujipa utaalam WA uchumi na uwekezaji.....
Kuwa na uchungu na nchi ni jambo moja na kuwa na majibu ya uchumi ni jambo lingine...
Wote tuna uchungu na wazazi wetu ..
Lakini wakiumwa tunaenda wasikiliza madaktari hospitali...daktari Hana uchungu na mzazi wako ..anaweza kuwa hata amekunywa kidogo lakini ndo "Mtaalam"..wa kusikilizwa
Kwani walishindwa wao kuyauza Ili watajirike,mnakuja na visiasa vyenu uchwara,eti utaalamu wa Uchumi, Uchumi aliojenga nani?
Hopeless generation!