Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kuchambua facts kwa nuance ndiyo analysis paralysis?
Unaniuliza mimi habari za CHADEMA kwani mimi mwanachama wa CHADEMA?
Term limits ni nzuri kwa CHADEMA lakini kwa Magufuli ni mbaya?
Sasa unapochambua bila kufikia hitimisho maana yake nini?
Huhitaji kuwa mwanachama wa CHADEMA kuguswa na yanayojiri CHADEMA. Msingi wa democracy ya nchi unaanzia kwenye ngazi ya chama kimoja kimoja. Huwezi kuwa na dictatorships kwenye vyama vya siasa halafu ukawa na taifa lenye democracy ya kweli.
Sijasema term limits ni nzuri kwa CHADEMA lakini mbaya kwa Magufuli. Tofauti na wanaomshambulia Mzee Butiku, mimi nakubaliana naye juu ya kuzungumzika kwa hoja ya kuondoa term limits. Kwa term limits kuwa nzuri au mbaya, hicho ni kitu kingine, ambacho hata hivyo ndicho kinapaswa kuwa zao la hiyo debate!