Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,369
- 14,957
Inawezekana....
Just recall the case of the Pharaoh of oppression.
Inawezekana....
Hata hivyo ukiachana na precedent ya marais wa huko nyuma kuondoka madarakani, hakuna kitu kingine cha kumzuia.
Watanzania washapigika kikamilifu, njaa na kukata tamaa. Tayari wako KIBRA.
Wanaishi kwa matumaini tu.
Ni yeye tu aamue kubaki au kustaafu, hakuna wa kusema chochote wala kumzuia.
Kama ni katiba anaivuruga kila siku.( Angalia suala la Wabunge wa CHADEMA maarufu kama COVID-19 ).
Kwasasa ana uwezo wa KUFANYA CHOCHOTE wakati WOWOTE.
Ghafla TAIFA lililokuwa linaonekana kama taifa KUBWA leo linapuuzwa na DUNIA na wajinga wachache wanachekelea.
Kumbe na hili lizee ni takataka!
Tuzidishe maombi
Amenishangaza kwa kuzungumzia nafasi ya ufalme kwa kumzungumzia malkia badala ya waziri mkuu.Maoni ya ovyo toka kwa mtu aliyeaminika na hivyo kumfanya awe wa ovyo ghafla.
Ni haki ya simba kunyonya damu ya swala na kula nyama yake, ni wajibu wa swala kumshinda simba mbio na mbinu ili aishi muda mrefu. Hakuna ulimwengu hapo, Jiandae kukimbia au kubali kuliwa.Naomba weka hilo akilini. Usiwe mtu wa kulalamika na kusubiria ulimwengu uamue kukutafutia haki.Tunaweza kuona Kama Ni utani kumbe wako serious!
Huwenda sisi wananchi tusiwe na la kufanya iwapo wataamua kufanya lolote.
Lakini Ni kawaida ulimwengu unaongozwa na kanuni, na moja wapo ya kanuni ya asili ya ulimwengu ni haki.
Basi Kama ni haki yao kufanya hivyo na iwe hivyo, lakini Kama si haki yao na wakifanya hivyo basi ulimwengu utatulipia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zee shetani mkubwa, ngoja nilitumie corona kwenye hewa iliondoeLinatafuta kick ya kisiasa.
Mzee Butiku si takataka. Tuheshimu hawa wazee.This is unconscionable political intolerance. Mtu hawi takataka kwa sababu tu ametofautiana na wewe kimtazamo!
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
=======
MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi wanasema mkali, mimi ningependa awe mkali zaidi. Kweli ningependa huko aliko mkali zaidi kwasababu tusipojipanga vizuri na chama cha mapinduzi kisipojipanga vizuri kikasimia serikali yake vizuri, hatuwezi kuvuka sasa hivi katika dunia ya sasa hivi ya ushindani, dunia ya Marekani, dunia ya Wachina, Wahindi, dunia ya watu wanaoongezeka haraka, hatutavuka.
Kwahiyo mnataka Rais ambae ni mpole lakini ni mkali.
Hili la kutoka kutotoka ni la utaratibu, ameniuliza jana mtu wa Deustchwele mambo ya kung'atuka, sikutaka kuzungumza hilo. Nikasema mambo ya kuacha ni mambo ya kuzungumza tu, mbona waingereza, wazungu wameongoza miaka mingapi? mingi masultani haya yamekaa yanaendesha nchi zao, nani aliwauliza? Waongo tu, Waingereza hapo wana malkia, nani anamuuliza? Huyu mama Makel mwaka huu wa ngapi? Wa 16, kwa hiyo watanzania tuwe huru tukitaka kuzungumza mambo haya ya wakati, wakati ukifika tunazungumza tu, ni mambo ya kuzungumza mkitaka kuamua mnafanya.
Lakini yasitupotezee muda, sijui 10, 5, sijui atoke lini! Priority ya sasa hivi ni maendeleo ya wananchi. Lakini tufate utaratibu, hapana mazungumzo ya holela hapa, mazungumzo yanafata utaratibu.
Ukomo wa urais sio suala la utaratibu, ni takwa la katiba na unapotaja katiba maana yake unagusa sheria...
Ndio maana ni lazima kipengele cha ukomo kibadilishwe kwenye katiba kwanza
Utalikubali tu. Mjadala ndo unaanza hivyo. It's just a matter of time!Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.
Chenye maana Ni kuondoka ccm na siyo Magufuli.As long as CCM remains hailet differenceUtalikubali tu. Mjadala ndo unaanza hivyo. It's just a matter of time!
Utalikubali tu. Mjadala ndo unaanza hivyo. It's just a matter of time!
Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.