Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Wameanza kutest nishati ya kijani kama inafanya kazi😌
 
Kufikia 2023 Magu atakuwa anamalizia kukamilisha mission yake ya kung'ang'ania ikulu
 
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"

Msimuamini sana huyu Butiku, ameshindwa kuwasaidia watoto wa Nyerere kwa kuwapa ushauri wa busara, huo ushauri wa kuisaidia nchi atautoa wapi? Njaa inamsumbua, atajikomba kwa jiwe angalau apate mahala pa kulala!!!
 
Ya malkia yanakujaje sasa??? Kwani jipuem ni malkia?? Msituletee maujinga ndomana mkahakikisha wapinzani hawaingii bungeni sio!!!
Hatutaki amalizie aende zake mkamchague malkia wakanda yenu huko.
 
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
Takataka
 
Maoni ya ovyo toka kwa mtu aliyeaminika na hivyo kumfanya awe wa ovyo ghafla.

Mkuu tazama mleta uzi ni nani, kisha jiridhishe na alichosema Butiku. Unaweza kutoa maoni yako kutokana na uzi wa mpotoshaji.
 
Kwamba Katka Watanzania milion 60 Ni Magufuli pekee anaweza kuongoza hii nchi. Ukistaajabu ya Kagame na Museveni utayaona ya Magufuli kutaka kufia ikulu.

Tunahitaji taasisi imara ya uraisi na si mtu au watu.
 
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"

=======

MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi wanasema mkali, mimi ningependa awe mkali zaidi. Kweli ningependa huko aliko mkali zaidi kwasababu tusipojipanga vizuri na chama cha mapinduzi kisipojipanga vizuri kikasimia serikali yake vizuri, hatuwezi kuvuka sasa hivi katika dunia ya sasa hivi ya ushindani, dunia ya Marekani, dunia ya Wachina, Wahindi, dunia ya watu wanaoongezeka haraka, hatutavuka.

Kwahiyo mnataka Rais ambae ni mpole lakini ni mkali.
Ni aibu kubwa sana kwa Butiku kushabikia kuvunjwa kwa Katuliba
 
Ina maana nchi hii tunataka kukifanya hatuna watu vichwa wa kuongoza ila Magufuli tu ndiye anaweza, vipi Mungu akiamua mipango yake?
Mipango ya Mungu tumuachie Mungu na yaliyomikononi mwetu tuyafanye,Ni ukweli usiopingika kwamba mipango ya Mungu ilipotimia kwa Sokoine alilala lakini nani anaweza kuniambia kati ya vichwa vilivyoibuka kushika wadhifa wake,nani alifikia kiwango chake cha uwajibikaji?
Haya tuangalie mheshimiwa Mrema alivyoitenda kazi ya wizara ya mambo ya ndani,alipoondoka kwenye wadhifa wake,naomba kujua kati ya vichwa vyote vilivyowekwa kushika nafasi hiyo nani amemfikia Mrema hadi sasa?
Charles Kenja(sijui kama nimelipatia jina lake) baada ya kutoka kwenye nafasi yake alipojenga kuta za zahanati zote za jiji na maeneo ya wazi
kama mnazi mmoja,baada ya kutoka waliofuata walifanya nini? Njoo kwa ndugu Mwaibula na sakata la daladala za jijini? ipo mifano mingi sana ambayo tulibadilisha watu kwa kuamini watakuja wazuri zaidi tukaangukia patupu.

Nachelea kusema kwamba ninawasiwasi kwamba wakati mwingine watu wazuri hubadilishwa,ili mipango miovu
hasa ufisadi wa fedha ipate kutekelezeka na si kuleta ufanisi.
 
Hakika hakuna aliyefikia kiwango cha uzalendo na uwajibikaji wa Sokoine!

Mtafanya nini bwashee?!
Huwa inakuwa hivyo hivyo kwa kuamini kwamba hakuna la kufanya halafu badae linakuja kupatikana la kufanya from within na inakuwa sio tena kutoka kwa wananchi ambao mnaamini mmesha wawin kwa sababu ya uninga wao bali ni from within.
 
Me tatizo sio kuongoza milele tatizo akubali kuifanyia katiba marekebisho ili kuweka uwajibishwaji kwa wahujumu uchumi na wavunja katiba
 
Kwa hiyo anamlinganisha Queen Elizabeth na mzee wa burigi wakati yeye ni ceremonial head of kingdom asiyefanya shughuli za kiutendaji za kila siku kwenye himaya yake, au na Angela Merkel ambaye yeye huteuliwa na chama chake kuwa mwenyekiti na automatically anakuwa Councillor, angekuwa kilaza anafikiri wanachama wenzake wangempitisha au hata kwenye uchaguzi wa nchi angeshinda? ni wapi alimwona Malkia Elizabeth au Councillor Angela Merkel kaingia na begi jeusi kwenye chumba cha kupigia kura? au kuzuia wengine wasigombee kwenye chama ili apite bila kupingwa? msilinganishe vitu ambavyo ni mbingu na ardhi...nyinyi comparison yenu ni Mu7 na PK.
 
Back
Top Bottom