Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"

If it was written...it shall be done
 
Ila kusema ukweli kama huyu mzee ana huruma na Watanzania, basi hiyo miaka yake 10 inamtosha sana. Akiongeza mingine isiyo na kikomo, basi tutarajie kuona baadhi ya Watanzania wakiikimbia nchi kwa kasi ya ajabu.

Huenda yale ya wahamiaji kutoka Ethiopia, yakahamia kwetu. Hii ni kutokana na serikali yake kutumia nguvu nyingi kwenye miundombinu, huku maeneo mengine yanayo gusa maisha ya watanzania moja kwa moja mfano ajira kwa vijana, mzunguko wa fedha mtaani, nk. Yakiendelea kupuuzwa.
Kutegemea huruma kwa Magufuli no sawa na kusubiria Shetani aokoke.

Chukulia mfano wa tukio liliompaya Lissu. Kumvurumisha binadamu mwenzio risasi 36 mchana kweupee ni moja kati ya TUKIO BAYA SANA NA LA KIKATILI kupindukia. Na kibaya zaidi mtu huyo huyo akiwa kitandani anapigania UHAI WAKE unatumia MAHAKAMA na BUNGE kumsulubu kikamilifu.

Nakwambia probably wewe ukiambiwa ufanye hivyo hata kwa MBWA tu HUTAWEZA.
 
Hata Putin na Mu7 wapo tu!
M7 kashasema wazi kwamba kwa sasa hakuna Mganda mwenye akili wa kumpa Urais, mpaka hapo atakapopatikana..kwa hiyo bado yupo saana tu.

Sisi wa kwetu sitaki nataka !!
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Sijui wakina Mzee Butiku wanapata kigugumizi kipi! Wawe wawazi tu, kuwa Rais aliyepo madarakani siku zake zikifika kwa mujibu wa katiba iliyopo aachie ofisi.

Mbona marais waliotangulia walifanya hivyo ijapokuwa kulikuwa na jitihada kutoka kwa wapambe wao zenye kutaka kuwashawishi wazidi kubakia madarakani. Watanzania wengi wamejiandaa kisaikolojia na ujio wa Rais ambaye atakuja 2025 baada ya huyu, ambaye kimahemesabu anapaswa kuwa ni Muislamu.
 
Kwa upumbavu, unafki na uoga wa watanzania kilichobaki ni kumuombea huyo "mungu" mtu Mungu baba wa mbinguni amchukue..

Kwa nguvu zetu hatuwezi maana ameshapata malaika waasi wa kumuabudu, kumlinda na kumtetea kila kona.
 
Endeleeni kutest hasira zilizojificha hii nchi itakuja kugawanywa vipande vipande
 
Na
Kwa upumbavu, unafki na uoga wa watanzania kilichobaki ni kumuombea huyo "mungu" mtu Mungu baba wa mbinguni amchukue..

Kwa nguvu zetu hatuwezi maana ameshapata malaika waasi wa kumuabudu, kumlinda na kumtetea kila kona.
Na Mungu amchukue tu hakuna namna japo wote tutakufa ila hapana sio kwa mateso haya
 
Na
Na Mungu amchukue tu hakuna namna japo wote tutakufa ila hapana sio kwa mateso haya
Mungu amuweke Mh rais ili Sisi watanzania tuzidi kuneemeka.

Hii nchi mlizoea kuichezea sasa Mungu amesikia kilio chetu.

Mh rais usisikilize kelele za haya madebe tupu. Endelea kufanya kazi na Sisi tupo pamoja nawe.
 
Ina maana nchi hii tunataka kukifanya hatuna watu vichwa wa kuongoza ila Magufuli tu ndiye anaweza, vipi Mungu akiamua mipango yake?
Yaani tuseme kwa upande wangu mimi, hata hiyo miaka saba wanayotaka kumwongezea baada ya 2025 bado hainitoshi. Naomba tu niwe wazi katika hili
 
Kama mzee Butiku keshaelekea qibla basi imeisha iyo,tukutane 2030.
 
Back
Top Bottom