Taratibu wanaweka mambo sawa,Ili jiwe atawale mpaka afe,Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
=======
MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi wanasema mkali, mimi ningependa awe mkali zaidi. Kweli ningependa huko aliko mkali zaidi kwasababu tusipojipanga vizuri na chama cha mapinduzi kisipojipanga vizuri kikasimia serikali yake vizuri, hatuwezi kuvuka sasa hivi katika dunia ya sasa hivi ya ushindani, dunia ya Marekani, dunia ya Wachina, Wahindi, dunia ya watu wanaoongezeka haraka, hatutavuka.
Kwahiyo mnataka Rais ambae ni mpole lakini ni mkali.
Hili la kutoka kutotoka ni la utaratibu, ameniuliza jana mtu wa Deustchwele mambo ya kung'atuka, sikutaka kuzungumza hilo. Nikasema mambo ya kuacha ni mambo ya kuzungumza tu, mbona waingereza, wazungu wameongoza miaka mingapi? mingi masultani haya yamekaa yanaendesha nchi zao, nani aliwauliza? Waongo tu, Waingereza hapo wana malkia, nani anamuuliza? Huyu mama Makel mwaka huu wa ngapi? Wa 16, kwa hiyo watanzania tuwe huru tukitaka kuzungumza mambo haya ya wakati, wakati ukifika tunazungumza tu, ni mambo ya kuzungumza mkitaka kuamua mnafanya.
Lakini yasitupotezee muda, sijui 10, 5, sijui atoke lini! Priority ya sasa hivi ni maendeleo ya wananchi. Lakini tufate utaratibu, hapana mazungumzo ya holela hapa, mazungumzo yanafata utaratibu.
Kumbe alikuwa ashatoka ikulu?HahaaAlimaliza kazi akapumzika kwa amani
Ana Uwezo wa kufanya lolote wakati wowot
Uwepo wa hizo assassination attempts unahalalisha matukio yenyewe ??Kipindi hiki cha Information Age, ignorance ni choice, sio matokeo ya uchache au ukosefu wa vyanzo vya knowledge.
Fanya utafiti upate kujua kuwa assassination of politicians (waliomo serikalini/nje ya serikali) and civil rights leaders duniani ilikuwepo zamani, ipo sasa na itaendelea kuwepo miaka ijayo. Nakushangaa kwa kushangaa assassination attempt wakati kuna successful assassinations kibao!
Kwa hiyo turudishe umalkiaAkimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
=======
MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi wanasema mkali, mimi ningependa awe mkali zaidi. Kweli ningependa huko aliko mkali zaidi kwasababu tusipojipanga vizuri na chama cha mapinduzi kisipojipanga vizuri kikasimia serikali yake vizuri, hatuwezi kuvuka sasa hivi katika dunia ya sasa hivi ya ushindani, dunia ya Marekani, dunia ya Wachina, Wahindi, dunia ya watu wanaoongezeka haraka, hatutavuka.
Kwahiyo mnataka Rais ambae ni mpole lakini ni mkali.
Hili la kutoka kutotoka ni la utaratibu, ameniuliza jana mtu wa Deustchwele mambo ya kung'atuka, sikutaka kuzungumza hilo. Nikasema mambo ya kuacha ni mambo ya kuzungumza tu, mbona waingereza, wazungu wameongoza miaka mingapi? mingi masultani haya yamekaa yanaendesha nchi zao, nani aliwauliza? Waongo tu, Waingereza hapo wana malkia, nani anamuuliza? Huyu mama Makel mwaka huu wa ngapi? Wa 16, kwa hiyo watanzania tuwe huru tukitaka kuzungumza mambo haya ya wakati, wakati ukifika tunazungumza tu, ni mambo ya kuzungumza mkitaka kuamua mnafanya.
Lakini yasitupotezee muda, sijui 10, 5, sijui atoke lini! Priority ya sasa hivi ni maendeleo ya wananchi. Lakini tufate utaratibu, hapana mazungumzo ya holela hapa, mazungumzo yanafata utaratibu.
Akimalizia mazungumzo yake kwenye mdahalo wa CCM unaorushwa mubashara TBC muda huu Mzee Butiku ameuliza "mbona Uingereza malkia yupo....., mbona Angela Merkel yupo miaka 16? Mradi tufate taratibu"
=======
MZEE BUTIKU: Mimi nampenda sana Rais Magufuli, ngoja niseme hili hapa leo. Watu wengi wanasema mkali, mimi ningependa awe mkali zaidi. Kweli ningependa huko aliko mkali zaidi kwasababu tusipojipanga vizuri na chama cha mapinduzi kisipojipanga vizuri kikasimia serikali yake vizuri, hatuwezi kuvuka sasa hivi katika dunia ya sasa hivi ya ushindani, dunia ya Marekani, dunia ya Wachina, Wahindi, dunia ya watu wanaoongezeka haraka, hatutavuka.
Kwahiyo mnataka Rais ambae ni mpole lakini ni mkali.
Hili la kutoka kutotoka ni la utaratibu, ameniuliza jana mtu wa Deustchwele mambo ya kung'atuka, sikutaka kuzungumza hilo. Nikasema mambo ya kuacha ni mambo ya kuzungumza tu, mbona waingereza, wazungu wameongoza miaka mingapi? mingi masultani haya yamekaa yanaendesha nchi zao, nani aliwauliza? Waongo tu, Waingereza hapo wana malkia, nani anamuuliza? Huyu mama Makel mwaka huu wa ngapi? Wa 16, kwa hiyo watanzania tuwe huru tukitaka kuzungumza mambo haya ya wakati, wakati ukifika tunazungumza tu, ni mambo ya kuzungumza mkitaka kuamua mnafanya.
Lakini yasitupotezee muda, sijui 10, 5, sijui atoke lini! Priority ya sasa hivi ni maendeleo ya wananchi. Lakini tufate utaratibu, hapana mazungumzo ya holela hapa, mazungumzo yanafata utaratibu.
Hehehehehe, Wakenya huwa wanauliza, uta-do?Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.
Uwepo wa hizo assassination attempts unahalalisha matukio yenyewe ??
Aisee, Yaani ni kama mmerogwa vile. No wonder, siku ya leo kama Jumapili mnapiga magoti altareni mbele ya makamera ili kuonesha umma jinsi mlivyo wacha Mungu.
Hata hivyo ukiachana na precedent ya marais wa huko nyuma kuondoka madarakani, hakuna kitu kingine cha kumzuia.
Watanzania washapigika kikamilifu, njaa na kukata tamaa. Tayari wako KIBRA.
Wanaishi kwa matumaini tu.
Ni yeye tu aamue kubaki au kustaafu, hakuna wa kusema chochote wala kumzuia.
Kama ni katiba anaivuruga kila siku.( Angalia suala la Wabunge wa CHADEMA maarufu kama COVID-19 ).
Kwasasa ana uwezo wa KUFANYA CHOCHOTE wakati WOWOTE.
Hehehehehe, Wakenya huwa wanauliza, uta-do?
Unapokubali kuporwa kitu kidogo, uwe na uhakika ipo siku watachukua kikubwa.
Walipora haki ya kupata habari (bunge live) tulikaa kimya
Wakasema marufuku mikutano ya siasa na maandamano tulikaa kimya
Wamevuruga uchaguzi 2020 tulikaa kimya.
Nini tutafanya wakiamua Magufuli aendelee? Nothing nothing
Wakimaliza kazi waliyotumwa na Mungu wataondoka tuu
Wananchi wanaandaliwa kisaikolojia. Hivi wazee walioitumikia hii nchi katika kada mbalimbali hawawezi kuwa na kauli juu ya hili jambo?Taratibu wanatest kina cha Maji
Akiamua utafanya nini mkuu?Yote tumekubali lakini hili wasirogwe.