Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Mzee Butiku: Hili la Rais kutoka au kutotoka ni la utaratibu

Na kwa upu.mbavu wetu, tulio wengi, ataendelea kuisigina katiba, huku tukimshangilia! Kama ni kulogwa tumelogwa tukalogeka, na mlozi katangulia mbele ya haki!


Shida mkuu sio kwamba tumelogwa bali ni hulka yetu hasa sisi watu weusi, tunao UBINAFSI zaidi. Huo Ugonjwa ndio sumu inayotutafuna zaidi.

Leo hii IGP akipewa amri yoyote ya kufanya chochote hata kilicho kinyume na sheria atafanya tu ili kulinda wadhifa wake na hii hali ipo kwa viongozi WOTE waandamizi, wapo radhi kutenda maagizo hata yale yaliyo kinyume na sheria ili kulinda matumbo yao, huu ndiyo Ubinafsi unaotutafuna kwa leo na hicho ndicho kikwazo kikubwa cha haki, watu tumekuwa waoga na uoga wakati fulani ni Akili.

Retreating in a battle field is not a defeat rather a strategy for victory.
 
Unapofananisha urais wa Tanzania na nafasi ya malkia Uingereza ambayo ni Monarch unadhani ni vitu sawa vya kulinganisha? Kwa nini kama ni kulinganisha asingelinganisha na waziri mkuu wa Uingereza ambaye ndio head of state/govt maana malkia ni ceremonial tu na hereditary? Anajua Waziri mkuu ana term limit.

Pia unalofananisha urais wa Tz na chancellor wa Ujerumani si sawa. Ujerumani kuna Rais ambaye ana term limit kbs ya 5 yrs na maximum ni two terms. Chancellot ni headnof gvt na anakuwa nominated na President. Ni mifumo miwili tofauti kbs.


Kwa hili ninaamnini kbs kuwa kuna agenda imeandaliwa na sisi wengine tunapitishwa kwenye agenda ili kuitimiza bila ridhaa yetu.

Maana sasa kuna dhana mpya ya "atake au asitake". Hata Naibu spika naye anazungumzia hoja hii kwa misingi ya "Rasi hataki". Hapa hoja sio kutaka au kutotaka kwa Rais. Hoja ni mifumo iliyopo ya kuongoza hasa katiba. Jibu ni hairuhusu. Kama ibadilishwe, ni Kwanini ibadilishwe? Na kwanini sasa?
Uingereza hawana term limit mkuu.
 
Kweli, asante mkuu.

Bottom line kama nilivosema, UK ni Monarchy.

Sisi tubadili katiba? Why and why now?
CCM wameshachoka kufanya siasa ndiyo maana wanawaza kubadili katiba watawale Milele bila kubughudhiwa na wapinzani.
 
UK hawana term limit; Tony Blair alitawala term 3
Markel nae katawala term 4 kwakuwa Germany nao hawana term limit.
China walikuwa na term limit ya 5+5; ujio wa Xi ukaondoa term limit.

Russia wana term 2 ila Rais anaweza kugombea tena baada ya mtu mwingine kutawala yeye akiwa bench au akishika nafasi ya chini then aka-ascend tena.

Maadui wakubwa wa Tanzania bado ni umasikini, ujinga, maradhi na kwa sasa anaibuka adui mwingine mpya la tabaka la akina fulani na akina fulani.

Ni uamuzi wetu sisi Watanzania kumwongezea JPM muda au tutafute mrithi wake ambae ataongeza kasi ya kujenga uchumi jumuishi.

Ni aibu tuna nchi ina utajiri wa maliasili na watu wenye akili ila tunajichelewesha kwenye kutumia technology ili kujenga uchumi jumuishi ambao utafyeka umasikini na kuondoa ujinga na maradhi katika jamii yetu.

Tanzania ina all it takes kuwa na watu wengi wenye high purchasing power ili kumudu mahitaji ya bidhaa na huduma.
Haya yakitokea Tax base itaongezeka bila swali.
How do we get there, tunahitaji kusikilizana ili kuona nani kati yetu ana working model; ili akishinda; sote tunashinda.
 
Binafsi napenda aendele tena awe mkali zaidi ya hapo kwa wanyonge wengi bado wanaendelea kunyimwa haki zao atazame baadhi ya wateule wake hasa wa ngazi za wilayani na halmashauri bado hawataki kubadilika hawa ndio wanaweza kuifanya serikali yake ionekane haifai.
 
Mipango haramu sometimes huusisha watu wengi ili itimie.
Oh yes, mipango haramu ili itimie vizuuri kabisa lazima uwahusishe watu wakunwa na wenye ushawishi kwenye jamii - by Napoleon Bonaparte!!!!!!😓😓😓
 
Oh yes, mipango haramu ili itimie vizuuri kabisa lazima uwahusishe watu wakubwa na wenye ushawishi kwenye jamii - Napoleon Bonaparte!!!!!!!😓😓😓😓
 
Mbowe naye ana miaka sio haba atatoka lini haijulikani

Ziko kabwe naye hivyohivyo
 
Bado Kikwete sasa, huu ni upumbavu mkubwa tu. WTF hawa wazee wanalipeleka wapi taifa, wameshiba matumbo sasa wanaanza kulainika, naona kweli saba au kumi.

Futseke zao!!
 
mkitaka kuamua mnafanya.
Habari yote inaishia hapa, kwenye hayo maneno matatu.

"....mkitaka kuamua mnafanya." Waingereza na huko Ujerumani, pamoja na kutokuwa mifano sahihi aliyotumia mzeew Butiku, pamoja na kutokuwa mifano mizuri kwa hali inayotukabili..., "wao wakitaka kuamua wanafanya"

Sisi hapa, "hatuwezi kuamua na kufanya". Tunalazimishwa, tutake tusitake, inafanywa, tena kwa madoido makubwa ionekane "Tumeamua na Kufanya"
 
Habari yote inaishia hapa, kwenye hayo maneno matatu.

"....mkitaka kuamua mnafanya." Waingereza na huko Ujerumani, pamoja na kutokuwa mifano sahihi aliyotumia mzeew Butiku, pamoja na kutokuwa mifano mizuri kwa hali inayotukabili..., "wao wakitaka kuamua wanafanya"

Sisi hapa, "hatuwezi kuamua na kufanya". Tunalazimishwa, tutake tusitake, inafanywa, tena kwa madoido makubwa ionekane "Tumeamua na Kufanya"
Mamlaka ya serikali na chama tawala vinatoka kwa wananchi
 
Too bad..!

Wazee hekima zao zimeporomoka sana kwenye utawala huu wa mfalme mtarajiwa, ambaye soon 'atatawazwa' na na kupitishwa na genge la Ndugai pale mjengoni.
Ndugu yangu ngoja nikuambie. Wazee nao ni binadamu. Unajua kwenye nchi kama uongozi ni wa kidikteta na unafanya makosa mengi leoakitokea jasiri mmoja akikemea utawala ukamshughulikia wananchi wakapiga kimya, kesho tena akatokea mwingine mambo yakawa yale yale na kesho kutwa hivyo hivyo... hapo watu wengi watakata tamaa. Ni wachache sana watakakubali kuendelea kuhatarisha maisha yao. Hili ndilo linalotokea Tanzania sasa. Viongozi kada zote karibu wote, i.e. vyama vya wafanyakazi, siasa, dini, NGOs etc wote wako mfukoni mwa jamaa.
 
Ukomo wa urais sio suala la utaratibu, ni takwa la katiba na unapotaja katiba maana yake unagusa sheria...

Ndio maana ni lazima kipengele cha ukomo kibadilishwe kwenye katiba kwanza
 
Hata Putin na Mu7 wapo tu!
Mugabe na Mobutu nao walikuwepo.CCM Ni yaleyale mavi tu.Mavi ni mavi tu hata uyaite uharo,kinyesi,mavi ,madibi,kimba nk yanabaki kuwa mavi.mnafikiri wanapoumba ccm ni ile ileeee ,ni ile ilee huwa wanamaanieha nini?
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom