Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Kuchambua facts kwa nuance ndiyo analysis paralysis?
Unaniuliza mimi habari za CHADEMA kwani mimi mwanachama wa CHADEMA?
Term limits ni nzuri kwa CHADEMA lakini kwa Magufuli ni mbaya?
Unataka term limits au hutaki?Sasa unapochambua bila kufikia hitimisho maana yake nini?
Huhitaji kuwa mwanachama wa CHADEMA kuguswa na yanayojiri CHADEMA. Msingi wa democracy ya nchi unaanzia kwenye ngazi ya chama kimoja kimoja. Huwezi kuwa na dictatorships kwenye vyama vya siasa halafu ukawa na taifa lenye democracy ya kweli.
Sijasema term limits ni nzuri kwa CHADEMA lakini mbaya kwa Magufuli. Tofauti na wanaomshambulia Mzee Butiku, mimi nakubaliana naye juu ya kuzungumzika kwa hoja ya kuondoa term limits. Kwa term limits kuwa nzuri au mbaya, hicho ni kitu kingine, ambacho hata hivyo ndicho kinapaswa kuwa zao la hiyo debate!
Unataka term limits au hutaki?
Kutaka term limits CHADEMA halafu kukataa kwa Magufuli ni contradiction.
Maswali ya CHADEMA kawaulize CHADEMA, mimi si mwanachama wa CHADEMA.
Unataka term limits au hutaki?
Kwa nini unataja CHADEMA na si CUF au TADEA?I am keeping an open mind on the matter; I can side with any school of thought that makes the strongest case. Ninachosema mimi, let the debate run its course, tofauti na watu fulani wanaosema hilo halizungumziki!
Huwezi kuzungumzia nchi ya Tanzania bila kuzungumzia CHADEMA au chama kingine cha siasa chenye usajiri na wanachama Tanzania. CHADEMA members ni subset ya Watanzania!
Kwa hiyo, wewe unadhani kutaka term limits kwenye katiba ya nchi sanjari na kukataa term limits kwenye katiba ya chama cha siasa sio contradiction?
Kwa nini unataja CHADEMA na si CUF au TADEA?
Unaweza kuwapangia watu wa CHADEMA wawe wajamaa wakati wao wameamua kuwa mabepari?
Wewe unaelewa maana ya chama cha siasa ni nini?
Mimi sipendi viongozi kuongoza bila term limits, what has that got to do with CHADEMA? Mimi si mwanachama wao. Wana uhuru wa kukubali au kukataa term limit. Hawaongozi serikali. Why should that be an issue for me?
Wakiamua kutokuwa na term limits nitaona hawafuati princiole ninayoikubali, lakini usiniulize mini maswali ya CHADEMA. Mimi si CHADEMA. Kawaulize wao.
Wewe unataka term limits au hutaki?
Mpaka sasa hujajibbu swali.
Huyu mzee alikuwa na misimamo mikali lakini naona anaelekea kulekule watoto wake hakuna hata mmoja aliyeteuliwa na diktetaTaratibu wanatest kina cha Maji
Ndiyo nini hicho?Usinifananishe,naongelea ñafsi yangu na simwakilishi/sishirikiani na yeyote.Hayo majina umesoma mstari gani wa maandishi yangu?Kupanga ni kuchagua! Yaani uende na kiongozi aliyepo nchini anaye simamia maendeleo yanayo onekana ambayo yatadumu karne nyingi au umuamini kinyago wa YouTube (Lissu/Lema)! Huyu wa YouTube unamuona anaongea - hujui anaongelea chooni alipochutama au yupo anafanywa nini na Amsterdam (maana unaona mara anatikisika na kushtuka ilivyo sivyo!)! Uchaguzi ni wako.
Umesema tunazungumzia constitutional reform.Tunazungumzia constitutional amendment kuondoa term limits hapa. I am not aware of any other party that got rid of a term limits provision, kama ilikuwepo. If you know of any other party, usisite kuwasema!
Viongozi wetu wa nchi wanatokana na vyama vya siasa. Vyama vyetu vilivyovingi are like monarchies. Hatuwezi kunyoosha nchi bila kunyoosha vyama vinavyotupatia viongozi wa nchi. Let’s start with those who groom our leaders. If we take care of the foundation, the rest will pretty much take care of itself!
Nimeshasema, power of reason is my guiding principle. Upande utakaokuja na the strongest case (for or against) mimi sina tatizo nao!
Umesema tunazungumzia constitutional reform.
Katiba ya nchi inazungumzia term limits katika vyama vya siasa?
Nikisema term limits inatakiwa iwepo mpaka kwenye vyama vya siasa utakubali iwepo kwenye urais?
Haya rais ameshasema mimi ni nani nimpinge
View attachment 1697769