Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

Mzee Butiku amesisitiza kuwa ni muhimu kwa jamii na makundi yote ya kisiasa kutambua na kuheshimu nafasi ya Urais, akiikumbusha jamii kuwa nchi inaweza kuwa na Kiongozi Mkuu mmoja pekee kwa wakati mmoja.
Mwl. J. K. Nyerere mtu wa karibu kabisa na huyu Mzee alisema umasikini mbaya kabisa kutokea duniani ni umasikini wa mawazo, sijui hakumsikia?
 
well done Mzee butiku 💪
 
Waheshimiwe watu wanaoua?

Hizo manipulation za kizamani hazifanyi kazi dunia hii mzee, respect is earned.
Inashangaza aisee.Huyu mzee alikuwepo wakati rafiki yake Polepole ananyakuliwa,alipatataarifa.Alikuwepo wakati mauaji yanafanyika,alikuwepo wakati akina Lissu na wafuasi wengine wa chadema wanabambikiziwa makesi makubwa.Lakini amechagua kusema hayo.Sio kwa bahati mbaya .Amechagua kutumika.
 
Huyu mtu hajafa tu? tulisikia yuko ICU imekuwaje tena anakuja kuchafua hewa humu? Kama yeye alimchagua Rais basi amheshimu yeye asitulazimishe, hasa mimi binafsi najua sikumchagua mtu yeyote kuwa Rais kwa sababu hakukuwa na uchaguzi. 💢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…