Mzee Butiku: Upinzani usimame kwenye heshima, Tumuamini Rais

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka mbele maslahi ya taifa kupitia mazungumzo badala ya upinzani usio na tija.

Mzee Butiku amebainisha kuwa mfumo wa utatuzi wa mambo kwa Waafrika siku zote unajikita katika msingi wa maridhiano (consensus) kupitia mazungumzo na kukubaliana, tofauti na utamaduni wa upinzani wa kisiasa uliorithiwa kutoka nje.

Mzee Butiku amesisitiza kuwa ni muhimu kwa jamii na makundi yote ya kisiasa kutambua na kuheshimu nafasi ya Urais, akiikumbusha jamii kuwa nchi inaweza kuwa na Kiongozi Mkuu mmoja pekee kwa wakati mmoja.

"Tuna Rais mmoja tu, na narudia tena, tuna Rais mmoja. Kila mtu hawezi kugeuka na kuwa Rais. Rais aliyechaguliwa ni mmoja na ni binadamu anayefanya kazi kubwa ya kuifanyia nchi hii maendeleo. Hata kama kuna kasoro zozote zinazojitokeza, hizo ni sehemu ya kazi tunayopaswa kushirikiana kuirekebisha ili kusogeza nchi mbele," -Amesema Mzee Butiku
Hii serikali haiaminiki

Uaminifu hauombwi, unathibitika
 
Wazee wa dizaini hii ndio tatizo letu kubwa katika nyakati hizi kwa sababu badala ya kusimama katika KWELI na HAKI, wanakuwa machawa wa kutetea ujinga na upumbavu...

Unaweza vipi kumheshimu mtu asiyejiheshimu yeye mwenyewe na kuheshimu wengine..?

Mzee Butiku, RESPECT IS NOT GRANTED BY JUST SPEAKING "muheshimuni tu au niheshimuni tu hivihivi". The truth is this ---- RESPECT IS EARNED...!!

Samia Suluhu Hassan kama anataka kuheshimiwa, afanye mambo yatakayompa heshima automatic yenyewe..

Unaweza vipi kumheshimu kiongozi muongo, muuaji aliyeua maelfu ya ndugu zetu 29/10 kwa ushahidi ulio wazi unaoonesha kuhusika kwake ukimkodolea macho kodo..?

Utamhemshimu vipi kiongozi asiyekubali makosa yake mwenyewe kwa sbb ya kiburi, jeuri ya madaraka na dharau kwa wengine..??

It's absolutely impossible....!!

Huwezi kumheshimu mtu asiyeanza kwanza kujiheheshimu mwenyewe..!

Huwezi kumheshimu mtu asiyeheshimu wengine, na asiyekuheshimu wewe...!

RESPECT is a two way traffic. Jiheshimu nawe utaheshimiwa...
 
Nasikitika sana kuona baadhi ya wazee kutoka mkoa wa Mara wahuni km uyu Mzee...kumbe Kuna wazee wanazeeka na uhuni wao.
Ni Bora uka kaa Kimya km wazee wengine ukaendelea kuheshimika.
R.I.P..
 
Ut

Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka mbele maslahi ya taifa kupitia mazungumzo badala ya upinzani usio na tija.

Mzee Butiku amebainisha kuwa mfumo wa utatuzi wa mambo kwa Waafrika siku zote unajikita katika msingi wa maridhiano (consensus) kupitia mazungumzo na kukubaliana, tofauti na utamaduni wa upinzani wa kisiasa uliorithiwa kutoka nje.

Mzee Butiku amesisitiza kuwa ni muhimu kwa jamii na makundi yote ya kisiasa kutambua na kuheshimu nafasi ya Urais, akiikumbusha jamii kuwa nchi inaweza kuwa na Kiongozi Mkuu mmoja pekee kwa wakati mmoja.

"Tuna Rais mmoja tu, na narudia tena, tuna Rais mmoja. Kila mtu hawezi kugeuka na kuwa Rais. Rais aliyechaguliwa ni mmoja na ni binadamu anayefanya kazi kubwa ya kuifanyia nchi hii maendeleo. Hata kama kuna kasoro zozote zinazojitokeza, hizo ni sehemu ya kazi tunayopaswa kushirikiana kuirekebisha ili kusogeza nchi mbele," -Amesema Mzee Butiku
Utakufa lini
 
Mauzo ya bangi hata kama ni kwa kificho yazingatie umri.Haiwezekani kiumbe mzee wa miaka "80" alazimishwe kucheza kama MC Hummer au break dances za Michael Jackson.
 
Inashangaza aisee.Huyu mzee alikuwepo wakati rafiki yake Polepole ananyakuliwa,alipatataarifa.Alikuwepo wakati mauaji yanafanyika,alikuwepo wakati akina Lissu na wafuasi wengine wa chadema wanabambikiziwa makesi makubwa.Lakini amechagua kusema hayo.Sio kwa bahati mbaya .Amechagua kutumika.
Kabisa brother!!
 
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka mbele maslahi ya taifa kupitia mazungumzo badala ya upinzani usio na tija.

Mzee Butiku amebainisha kuwa mfumo wa utatuzi wa mambo kwa Waafrika siku zote unajikita katika msingi wa maridhiano (consensus) kupitia mazungumzo na kukubaliana, tofauti na utamaduni wa upinzani wa kisiasa uliorithiwa kutoka nje.

Mzee Butiku amesisitiza kuwa ni muhimu kwa jamii na makundi yote ya kisiasa kutambua na kuheshimu nafasi ya Urais, akiikumbusha jamii kuwa nchi inaweza kuwa na Kiongozi Mkuu mmoja pekee kwa wakati mmoja.

"Tuna Rais mmoja tu, na narudia tena, tuna Rais mmoja. Kila mtu hawezi kugeuka na kuwa Rais. Rais aliyechaguliwa ni mmoja na ni binadamu anayefanya kazi kubwa ya kuifanyia nchi hii maendeleo. Hata kama kuna kasoro zozote zinazojitokeza, hizo ni sehemu ya kazi tunayopaswa kushirikiana kuirekebisha ili kusogeza nchi mbele," -Amesema Mzee Butiku
The mazafaka is a spent force!
 
Hawa ndiyo watu waliokuwa wamemzunguka Mwalimu Nyerere imagine!!!
 
Sikumbuki mwalimu wa nidhamu aliyesema kitu wanafunzi wasibeze!
... sasa wamempa na jina: BUTI KUU!
😅
 
Mkurugenzi Mtendaji na Rais wa Taasisi ya Mwalimu Julius Nyerere, Mzee Joseph Butiku, ametoa wito kwa Watanzania na vyama vya siasa nchini kudumisha utamaduni wa kuaminiana, kuheshimiana na kuweka mbele maslahi ya taifa kupitia mazungumzo badala ya upinzani usio na tija.

Mzee Butiku amebainisha kuwa mfumo wa utatuzi wa mambo kwa Waafrika siku zote unajikita katika msingi wa maridhiano (consensus) kupitia mazungumzo na kukubaliana, tofauti na utamaduni wa upinzani wa kisiasa uliorithiwa kutoka nje.

Mzee Butiku amesisitiza kuwa ni muhimu kwa jamii na makundi yote ya kisiasa kutambua na kuheshimu nafasi ya Urais, akiikumbusha jamii kuwa nchi inaweza kuwa na Kiongozi Mkuu mmoja pekee kwa wakati mmoja.

"Tuna Rais mmoja tu, na narudia tena, tuna Rais mmoja. Kila mtu hawezi kugeuka na kuwa Rais. Rais aliyechaguliwa ni mmoja na ni binadamu anayefanya kazi kubwa ya kuifanyia nchi hii maendeleo. Hata kama kuna kasoro zozote zinazojitokeza, hizo ni sehemu ya kazi tunayopaswa kushirikiana kuirekebisha ili kusogeza nchi mbele," -Amesema Mzee Butiku
Naona anajifanya hajui kuwa wapo waliofungwa kwa wizi, nao ni marais, pia wapo waliohukumiwa kifo, nao ni marais ila walitumia vibaya madaraka yao kama ilivyo hapa.
 
Kuna uzi humu ulitabiri Butiku kua mwiba kwenye Mageuzi
 
Back
Top Bottom