Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Jamaa alikuwa na program YouTube ya ku-interview watu mbalimbali siku za karibuni, siku hizi sioni updates.
 
Sasa sisi inatuhusu nini?
 
Sasa mbona Kama analingana na baba ake🙄
hawalingani sema weezy alizaa mapema sana akiwa na umri wa miaka 16 ndio alimpata huyo binti yake Reginae
mwaka 1998...tofauti ya umri wao ni miaka 16 tu,wayne ana miaka 38 huku mwane akiwa na miaka 22.
 
Huyu mjomba alikuwa anatafuta Kiki kupitia Trump watu wakampotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…