Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Kama ulikuwa hujui tofauti ya mzee carter na binti yake mpendwa first born ni miaka 16,mzee carter ana umri wa miaka 38 na binti ake ana umri wa miaka 22 tu.
maana yake mshua alipata mwana akiwa na umri wa miaka 16......wewe na mimi tuna miaka 25+ hatumiliki hata mimba tusilaumu sana ni mipango ya Mungu one day yes.
Duh miaka 16 dushe inamwagaa maniii ya production
 
Duh miaka 16 dushe inamwagaa maniii ya production
Kwa nini isimwage mkuu......mabadiliko ya mwili wakati wa kubalehe huwahi au kuchelewa kulingana na mtu.
 
Bilashaka alizaa na mtu mzima kumzidi yeye
Hapana mama yake huyu binti ni Toya Johson ana umri wa miaka 37 huku wyne akiwa na umri wa miaka 38 kwa hiyo ni mdogo kwa mwaka mmoja,alipata mtoto akiwa na miaka 15 tu......kumbe hizi mimba za utotoni zimeanzia majuu.

ukiangalia hawa watu walijua kuingiliana mpaka kuzalishana wakiwa watoto sana,labda kwa sababu ya utandawazi na mambo ya ukuaji wa teknolojia ambapo kwa sasa haya ndio yanatokea leo huku kwetu.
 
Ila sishangaii maaana mtoto wa kimarekani miaka 15 ukimlinganisha na wa huku kwetu ni wa 20+
 
Ndiyo maana Tra wamekunyoosha,walijua tu pesa itaishia kwenye umalaya wakaamua kuihamishia kwenye stiegler gorge *****!!
Hawaja ninyoosha peke yangu.. hata wote walio nyuma yangu wanaumia pia 😃😃😃. Mie narudi shambani nikiwa na ahueni.. ila wale walio nyuma yangu hali zao zitakuwa chakavu zaidi
 
Mewata 😁😂
😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😅😅😅😅😆😅😅😅😆😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😆😆😆😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom