Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Mzee Carter (Lil Wayne) na binti ake...

Ila sishangaii maaana mtoto wa kimarekani miaka 15 ukimlinganisha na wa huku kwetu ni wa 20+
sahihi kabisa anakuwa na upeo mkubwa wa kuelewa mambo mengi.
 
Mamaee tunchie kweli kavurugwa .. Daahh ukiwa na life style hiyo Safi sana yaani you don't care anything hauwezi kuwa na stress za kijinga Jinga [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom