TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

Pumzika kwa amani Mzindakaya, utakumbukwa kwa kulipua mabom Bungeni
 
Wandugu.
Mwanasiasa mkongwe humu nchini bwana Christian mzindakaya amefariki dunia. Mzindakaya amefariki jioni hii katika hospital ya taifa ya muhimbili ulipokuwa akipatiwa matibabu.
Wakati wa uhai wake bwana mzindakaya aliwahi kushika nafasi mbalimbali ikiwemo kuwa mbunge wa sumbawanga kwa miaka mingi.
Bwana ametoa, beans ametwaa .
Kiwanda cha SAAFI sasa kirudishwe serikalini...kachangia saana kuifilisi benki ya TIB kupitia kiwanda hiki..apunzishwe anapostahili
 
RIP mzee, mwendo umeumaliza.
IMG-20210607-WA0183.jpg
 
Mwanasiasa nguli Chrisant Mzindakaya, amefariki dunia leo jioni,pale hospitali ya Taifa ya Mhimbili!

Enzi za uhai wake,amewahi kua mkuu wa mkoa na Mbunge wa Jimbo la Kwela!

Pumzika kwa Amani Mzee wetu,kamusalimie sana mwanao, Violet Mzindakaya!
RIP.inasemekana aliwahi kusimamisha koti angani,"Mzee wa busara"
IMG-20210607-WA0183.jpg
 
Mwanasiasa nguli Chrisant Mzindakaya, amefariki dunia leo jioni,pale hospitali ya Taifa ya Mhimbili!

Enzi za uhai wake,amewahi kua mkuu wa mkoa na Mbunge wa Jimbo la Kwela!

Pumzika kwa Amani Mzee wetu,kamusalimie sana mwanao, Violet Mzindakaya!

Tanzia zimeanza tena. Apumzike kwa amani mja wake mola huyu.
 
Mwanasiasa nguli Chrisant Mzindakaya, amefariki dunia leo jioni,pale hospitali ya Taifa ya Mhimbili!

Enzi za uhai wake,amewahi kua mkuu wa mkoa na Mbunge wa Jimbo la Kwela!

Pumzika kwa Amani Mzee wetu,kamusalimie sana mwanao, Violet Mzindakaya!
Bora
 
Back
Top Bottom