TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

Anaitwa Chrisant Majiyatanga Mzindakaya ambaye amefariki dunia jioni hii kwa ugonjwa wa changamoto ya kupumua akiwa Muhimbili!
Du. Kama naona vifo vinaanza tena taratibu.. Jana alifariki yule mzee wa kutengeneza meli.
 
Mmoja wa wezi wakubwa walioifisidi nchi.
Mzee alikuwa mtata sana, alikomba fedha mpaka BOT enzi ya Marehemu Balali!!! Kikwete atasikitika sana kwani huyu alikuwa mmoja wa watu alikuwa anawatumia sana kwenye ufisadi wao wa kisiasa!! Pia alikuwa fundi sana wa kujikomba kwa Uongozi; alipokufa mwendazake mzee mzima alilia kama mtoto mdogo!!!
 
Kumbe wachawi wanakufaga!
Wanajionaga miungu hawa viumbe!
 
RIP. Chrisant mzindakaya Maji ya Tanga nukumbuka 2010 ulituuliza swali kwamba walio hai na walio kufa wengi wepi.tulipokujibu walio kufa ukasema basi umeshashinda ubunge kwakuwa wafu watakuchagua

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app

Sent from my CPH1937 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom