TANZIA Mzee Chrisant Majiyatanga Mzindakaya Afariki dunia

Anaitwa Chrisant Majiyatanga Mzindakaya ambaye amefariki dunia jioni hii kwa ugonjwa wa changamoto ya kupumua akiwa Muhimbili!
 
huyu nasikia aliwahi kufika jukwaani kweye mkutano wa iampeni akavua koti akalitundika hewani
 
Mmoja wa wezi wakubwa walioifisidi nchi.
Ana two extremes...amefanya kazi kubwa sana kuwahimiza watu kufanya shughuli za maendeleo katika maeneo yote aliyokwenda. Morogoro na Kigoma ni mashahidi. Ila NDC na hayo mambo mengine sijui ilikuwaje
 
Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.

Huyu Mzee mwanae alikuwa ni Violet Mzindakaya?
 
Amewahi kuwa mbunge kwa miaka mingi wa jimbo la sumbawanga na baadae KWELA
 
pole nyingi kwa wana sumbawanga kwa kumpoteza nguli wa siasa.
rekodi yake ya kuwa mbunge miaka 45 mfululizo haijavunjwa mpaka leo.
 
RIP maji ya Tanga Mzinda Kaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…