PostGE2025 Mzee Clemence Mwandambo adaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tulitegemea hili kutokea.
Kuna mtu juzi aliweka uzi hapa, kuwa huyu mzee awe makini, hana mda mrefu atatekwa.
Jana imekua kweli, 😭😭😢😢
 
Mleta mada ...huyu mtu ametekwa au amekamatwa na polisi?
 
Sequence ya matukio inafanana na Ile ya jpm kuelekea march 2020!

Naziona dalili zote!

Sema sisi mbinu zetu Bado local,kwamba lazima watu wafe mikononi mwa dola ndio upatikane uhalali wa kumuondoa mwenyekiti!!
Aah wewe huyu amezidi asee!
 
Huyo mzee alikengeuka sana. Mara kakashifu dini za watu hasa RC. Mara karopoka mambo ya wasanii. Kwa ajili ya kupata followers wengi na vimatangazo kajikuta anaweza kuongea siasa kama akina Gwajima.

Muache akachoshwe sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…