Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,014
- 7,343
Unaendaje kukamata mtu usiku wa manane na siraha nzito? Mtu ambae ulikua na uwezo wakumtumia hata mgambo kwa wito wa kutakiwa kituoni na akatipoti bila shida?Yani polisi wakimkamata mtu kipindi hiki inaripotiwa Katekwa hizi chuki zinazosambazwa aisee[emoji28][emoji28]
Hawa wahauni sasa hivi ni kujihami tu muda wote natembea na silaha yangu atakae niletea shobo nalala nae mbele.Mzee maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye pia mapema wiki hii alijisajili TRA ili aanze kulipa kodi kwa kazi yake ya Sanaa, Clemence Mwandambo anadaiwa kutekwa usiku wa kuamkia leo, Novemba 22, 2025 na watu wenye silaha nzito za moto waliojitambulisha kuwa ni Polisi.
Tukio hili limetokea nyumbani kwake karibu na hospitali ya rufaa Mbeya, ambapo alitupwa kwenye gari kisha watu hao wakatokomea naye kusikojulikana.
View attachment 3505656
View attachment 3505657
Inasikitisha mnoππππ
Kwanini mnasingizia polisi? Hii kazi inafanywa na ikulu.. na ikulu ishabariki ushenzi wa namna hii no way out.Kazi ya Upolisi ni laana hapa Tanzania.
Mkuu kwanini mnasingizia watu wanao mzunguka? Why msiseme ni yeye ndiye mhusika Mkuu?Ingekuwa vizuri zaidi kama ungeandika ''It is just a matter of foolishness''. Hawajiulizi kwa nini wanateka kila siku lakini watu hawaogopi? mean Samia kazungukwa na watu wapumbavu kweli kweli. Mmi sina uzoefu wowote kwenye uongozi lakini ungeniambia nimshauri nina uhakika ningekuja na njia nzuri sana ambazo zingefanya aonekane yeye ni rais bora kuliko wote waliowahi kutawala Tanzania.
Hiii mpya...na kama ni kweli ni hatari zaidiwenzenu hawatek kuwatishen , wenzenu wanauza viungo vya wa2 , endelea kuonesha jasiri wa mitandaoni bila kuchukua hatua
Siyo kweli.Kuna wakati nahisi ukute bi mkubwa Wala hana tabu na mtu,ila Kuna kikundi ndani ya mfumo wanafanya yote haya ili kumvuruga..
NAona umeutega umeupaka na mafuta...mtu akijichanganya anaukaliaππVitabu.
Polisi hawahusiki..ila wanajua na wanajua wahusika..ila nao wanahofia maisha yaoKwanini mnasingizia polisi? Hii kazi inafanywa na ikulu.. na ikulu ishabariki ushenzi wa namna hii no way out.
Mkuu hakuna popote niliposema kuwa Samia hahusiki. Ila nimesema ningekuwa karibu naye na akubali kupokea mawazo yangu. Yeye anahusika kwa asilimia zote... hata kama amepokea ushauri.Mkuu kwanini mnasingizia watu wanao mzunguka? Why msiseme ni yeye ndiye mhusika Mkuu?
Binafsi naamini yeye ndiye mhusika Mkuu wa haya yote yanayo endelea Tz
Hajakamatwa usiku wa manane na polisi wangekuwa wanakamata kwa style hiyo unayotaka wewe uhalifu ungekuwa mwingi sanaUnaendaje kukamata mtu usiku wa manane na siraha nzito? Mtu ambae ulikua na uwezo wakumtumia hata mgambo kwa wito wa kutakiwa kituoni na akatipoti bila shida?
we demu waga ni fala Sana, una muombea ujinga anko wako πYaaaani nimechoka kabisa mpwa wa celemence mwandamboo
Sjui saa hizi kama marinda bado yapo π
Acha kulichafua jeshi letuYaaaani nimechoka kabisa mpwa wa celemence mwandamboo
Sjui saa hizi kama marinda bado yapo π
Nimewaza tuwe demu waga ni fala Sana, una muombea ujinga anko wako π
Huyo Mungu hayupo.Kwani MUNGU sisi tumemkosea nini
Hujatekwa weweHuyo Mungu hayupo.
Upumbavu ndio umetufikisha hapa.
Wala sio Mungu.
Hakuna Mungu.