Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

kuna sehemu niliandika huyu mzee wetu tunaweza tusivuke nae mwaka maana alikua anapiga spana sana tangu aachiwe,huenda wahuni washafanya yao Mungu
Oya sasa hivi ananyea debe 😂😂
 
Kwa nini iwe ajabu kukamatwa kwa mtu anayotoa matusi mitandaoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…