Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

Sio samia anaeendesha hii nchi, kuna MMILIKI AMBAE NDIO MMILIKI WA JESHI LA POLISI NA JWTZ
 
Tulijua tu huyu mgalatia muda sio mrefu ataingiza udini, naona alikolea na vilikes na vyuzi
Sasa akafie ndani kubabake

1767039569247.png
 
Lilizidi kuongea Mavi acha walikomeshe ni ngumu sana kumtetea bwana Clemence Mwandambo. Nachoka kaka yenu​
Watanzania aliojenga Nyerere wamegeuka kuwa Nyang;au kuliko kiwango. Wakati wa Nyerere tulikuwa tunaitana "Ndugu" siku hizi tunesam "Lilizidi" yaani kama lijitu lisiloa na thamani.
 
Nimepokea taarifa kuwa baba yetu Clement Mwandambo amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni mapolisi. Ninawasihi watu mlioko Mbeya fikeni ofisi ya RCO mkoa wa Mbeya.

Enyi watu waovu msimdhuru baba yetu Mwandambo.

Kina mdomo sana hichi kizee ngoja zile lips zikavutwe na angolewe meno yote na plaiz tuone atakavyokuwa naongea huku anakunywa uji
 
Serikali haitaki mawazo mbadala
Mzee wa watu alikuwa anasema anachokifikiria na maoni yake
Hakumtukana mtu.
Sasa wanaenda kumuuwa bure
Hawatamuua na watakuja kumwachia ila atatulia tulii kama walivyofanya kwa Roma....yaani watapewa masharti makali mno
 
kuna sehemu niliandika huyu mzee wetu tunaweza tusivuke nae mwaka maana alikua anapiga spana sana tangu aachiwe,huenda wahuni washafanya yao Mungu
Watu wengine mnahimiza utekaji bila kujijua! Unadhani uliandika jambo zuri? Huoni ni kama ulikuwa unahalalisha utekaji uwe ni jambo la kawaida kwa wanakosoa serikali? Pengine wengine hamuwezi kuliona hili lakini ukitulia na kutumia akili vizuri utagundua kuwa hukupaswa kuandika hivyo.
 
Lilizidi kuongea Mavi acha walikomeshe ni ngumu sana kumtetea bwana Clemence Mwandambo. Nachoka kaka yenu​
Wewe kifuasi cha mungu mtu samia si mkatulize matumbo yenu uko na familia zenu muachane na kuongoza wananchi kama hamtaki kusemwa au kuambiwa ukweli ,
 
Mi nilijua tu wahuni watamchukua it's over sasa hivi hao huwa hawarudii mara mbili wakirudia mara mbili its over imeniuma sana Najua sasa hivi huyo mzee harudii tena ndo basi tena
Kama wamechapisha taarifa ya kumkamata polisi,basi huyo yuko salama tutamuona.

Shida ni akamatwe na polisi waseme wanamtafuta hiyo ndio huwa ni baibai.
 
Back
Top Bottom