ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Nimekuuliza Mwandambo kamtukana nani?Usijitoe ufahamu unapokuwa kwenye jamvi hili
Nimekuuliza Mwandambo kamtukana nani?Usijitoe ufahamu unapokuwa kwenye jamvi hili
Sidhani, angekuwepo walahi angekuwa kavunjiwq chunguHivi hakuna mganga wa kweli tuzike
Wewe una nyea niniOya sasa hivi ananyea debe 😂😂
Mi nilijua tu wahuni watamchukua it's over sasa hivi hao huwa hawarudii mara mbili wakirudia mara mbili its over imeniuma sana Najua sasa hivi huyo mzee harudii tena ndo basi tenaNimepokea taarifa kuwa baba yetu Clement Mwandambo amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni mapolisi. Ninawasihi watu mlioko Mbeya fikeni ofisi ya RCO mkoa wa Mbeya.
Enyi watu waovu msimdhuru baba yetu Mwandambo.
#FreeMwandambo
Serikali haitaki mawazo mbadalaIla mtu anakuwaje na kosa kuisema serikali, explain it to me as if I'm 5 years old
Mbona Kwa magufuli imewezekana .au hakuna wa kuharibu .Sidhani, angekuwepo walahi angekuwa kavunjiwq chungu
Ametekwa na majambazi yanayovaa uniformNimepokea taarifa kuwa baba yetu Clement Mwandambo amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni mapolisi. Ninawasihi watu mlioko Mbeya fikeni ofisi ya RCO mkoa wa Mbeya.
Enyi watu waovu msimdhuru baba yetu Mwandambo.
#FreeMwandambo
Na wewe kanywe bia, na kama sio mlevi kanywe juice au sio.Oya sasa hivi ananyea debe 😂😂
Wanasema arrangements of Magufuli's assassinationli it took a smart team and inner circle.Mbona Kwa magufuli imewezekana .au hakuna wa kuharibu .
Amemtukana nani?Kwa nini iwe ajabu kukamatwa kwa mtu anayotoa matusi mitandaoni?
Tuwe wakweli kama ncha ya dira (compass)Amemtukana nani?
bora anyee debe itakuà ahueni kwake kwamba ana uhai hawa wapuuzi wanampoteza kabsaOya sasa hivi ananyea debe 😂😂
Basi sawa ndugu mtekaji,uchoke na kuteka basi!Lilizidi kuongea Mavi acha walikomeshe ni ngumu sana kumtetea bwana Clemence Mwandambo. Nachoka kaka yenu