Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

Mzee Clémence Mwandambo akamatwa na Polisi kwa Tuhuma za kijinai

Kulindwa na fence ya umeme na konstebo wawili wenye njaa diyo mbinguni.
ndugu mmeanza kupiga kelele toka enzi na enzi hata askari wa V tu ngumu kumgusa , nusa nusa wapo mtaani wanajua kila mpango, HIVI INGEKUWA HIVYO MAKONDA ANGETEMBEA MTAANI? mbona mpka na pipiki festival , landrover festival anawafanyia na hana ulinzi huku katoka kuwafinya makende juzi juzi tu eneheeee eneheeeee
 
Back
Top Bottom