ITVSource??
Hata mie nimemsikia
Nimekushangaa sana kupata muda wa kumtafakari taahila mkuuMwanasiasa mkongwe CLEOPA DAVID MSUYA amesema chadema ni wazuri na MAHIRI KWA KUCHAMBUA MAMBO KISOMI KULIKO CCM na amewataka ccm waige chadema wanavyofanya. Kauli hii ya msuya inanifanya nimtafakari Mwashambwa na post zake za kichawachawa .
Unaweza ukaonyesha Magufuli na Samia walipata kura ngapi ktk jimbo lako??Lakini bado CCM wanapewa kura na wananchi...
Wabongo ni viumbe wa kuwaweka makumbusho ya taifa...
Kuna stage ya umri ikifika huogopi tena kuongea uhalisia hata kama utawakera wakubwaWaziri mkuu mstaafu ambaye hana tabia ya konakona wala kujikomba popote Cleopa David Msuya kayasema hayo live katika ITV kipindi cha dakika 45 na wote tumeyasikia.
Na kasema wazi kuwa CCM haina uwezo wa kujibu hoja bali kutumia mkono wa serikali (hii nadhani anamaanisha dola) kupush agenda zao lakini sio uwezo wa kuelezea.
Hii appreciation ya mkongwe huyu inatupa picha gani?
View attachment 2739294
Na katika ulimwengu wa leo mtu anayeweza kuchambua hoja kwa kina ndiye anayestahili kuongoza kuliko watu waongo.Halafu anakuja Mnyiha mmoja anajiita chawa wa mama, Lucas mwashambwa anaitukana CHADEMA, wewe, wewe, kama hujaanza kupungukiwa na nguvu za kiume, basi huu mwezi hauishi.
Chama cha Mazezeta, Chanzo Cha Matatizo.Na katika ulimwengu wa leo mtu anayeweza kuchambua hoja kwa kina ndiye anayestahili kuongoza kuliko watu waongo.
Ona sasa wanadanganya kuna akiba kubwa ya mafuta, lakini watu wanapambana vituoni kununua utadhani wako stadium kutazama mpira. Fedha ya kigeni tuna akiba ya kuendesha nchi miezi minne, lakini ukienda kwenye mabenki hata $500 hupati. Umeme pia uongo kila siku, Maji majiji hata Mwanza ni shida pamoja na ziwa kuwepo katikati ya jiji nk nk.
CCM imejaa uongo na ulaghai, ikiona mnachukia inawapeleka Kizimkazi mnaimbishwa taarabu na kukatiwa viuno hadi basi!
Mkitoka huko Hoi "kazi iendelee"