Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Lakini bado CCM wanapewa kura na wananchi...

Wabongo ni viumbe wa kuwaweka makumbusho ya taifa...
Nadhan huishi bongo itakua unaish Cambodia!! Nani aliekwambia wanategemea kura za wananchi?
 
Waziri Mkuu Mstaafu, Mzee CLEOPA DAVID MSUYA akihojiwa na ITV kwenye kipindi cha dakika 45 amesema CHADEMA ni wazuri na mahiri wa kuchambua mambo kwa kina na lazima tujifunze kwao.

-
Hawa CHADEMA ni wachambuzi wa mambo kwa kina na ni lazima tujifunze kwao, kwamba wao kwanini wanajifunza hivi na bado watu wetu hawawezi kujifunza kiasi hichohicho mpaka tuegemee upande wa pili" - Mzee Msuya


View attachment 2739400
Hii imeenda!! Ila ngoja waje uvccm tuone wanasemaje!!
 
Back
Top Bottom