Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Exactly! Uone watoto wa Nyerere kina Heche hawayaoni haya kila siku analaumu CCM matundu ya choo kumbe rasilimali zote zilienda CHADEMA.
Msiojua mambo ninyie, hamjui kuwa mfano Kilimanjaro tunapata uhuru barabara za lami zipo kwenda hadi vijijini, shule zilijengwa kwa juhudi zao hawakusubiri za kata mpaka wachaga walikuwa na gazeti lao la kichaga kuhamasisha maendeleo nyie Nanjilinji mnacheza ngoma za kuozesha watoto
 
Uvccm wanaandaliwa script za kumsakama mzee wetu msuya.

Unaweza kuta yale madai ya kumuua sokoine yakaibuka tena
 
Uzee ni dawa. Ukishazeeka unakuwa mambo mengi unasema kweli. Kuna cku Mama Maria Nyerere walimpandisha jukwaan akawaumbua.
Lakini kwa nini imeshindikana kwa mzee Malecela? Yeye akipewa nafasi ni pumba tuu kwenda mbele?
Na kumbuka kuna wakati aliingia kwenye orodha ya wenye busara katika Commonwealth kutatua migogoro! Au wakati ule alikuwa amebebwa na jina la Nyerere? Maana baadae alikuja onekana bogus issue ya "Jumanne" na waarabu.
 
Uvccm wanaandaliwa script za kumsakama mzee wetu msuya.

Unaweza kuta yale madai ya kumuua sokoine yakaibuka tena
Kabisa! Na kwa vile viongozi wao huwa hawakemei njia hizo chafu basi wanabariki kwa vile hawana HOJA hivyo wanatembelea midundo ya UVCCM ya ujinga na upuuzi bila kujua kuwa hapo ndipo aibu yao inapoanzia.
 
Lakini bado CCM wanapewa kura na wananchi...

Wabongo ni viumbe wa kuwaweka makumbusho ya taifa...
Huwaga hazitoshi kuwapa ushindi ila zinatoshelezwa na tume kwa sababu ya ubovu wa sheria za uchaguzi za mfumo wa kiccm (chama kimoja).
 
Chama cha Mazezeta, Chanzo Cha Matatizo.
Matatizo yote yanayolikabili taifa letu chanzo chake.ni CCM.
Elimu duni, miundombinu duni, afya duni, hamna majinsafi na salama. CCM imegeuka kuwa laana kwa taifa letu
Imagine leo raisi anakwenda kwenye ufunguzi wa mradi wa maji kweli 2023 raisi akafungue maji tena kwa masfara wenye kufuja pesa. Kazi za wakuu wa mikoa wilaya na hata ma meneja wa mahi mkoa hawawezi kuzindua mradi? Yaani tunatukuza mambo ya chini sana kuendelea ni stori ndefu sana
 
Lakini bado CCM wanapewa kura na wananchi...

Wabongo ni viumbe wa kuwaweka makumbusho ya taifa...
Usiwalaumu wabongo dola ni majambazi yaliyovaa suti wanapora chaguzi na sauti za wananchi mchana kweupe.
 
Imagine leo raisi anakwenda kwenye ufunguzi wa mradi wa maji kweli 2023 raisi akafungue maji tena kwa masfara wenye kufuja pesa. Kazi za wakuu wa mikoa wilaya na hata ma meneja wa mahi mkoa hawawezi kuzindua mradi? Yaani tunatukuza mambo ya chini sana kuendelea ni stori ndefu sana
Inasikitisha
 
Nilimsikia huyu mzee kazungumza siasa bila kuegemea upande wowote!
 
Back
Top Bottom