Safi sana Mzee wetu Msuya. Mungu akujalie maisha marefu hadi utakaoona unachokiamini kuhudu hoja za Chadema kikizaa matunda na hatimaye Chadema kukamata Dola. Mungu akubariki sana.Waziri mkuu mstaafu ambaye hana tabia ya konakona wala kujikomba popote Cleopa David Msuya kayasema hayo live katika ITV kipindi cha dakika 45 na wote tumeyasikia.
Na kasema wazi kuwa CCM haina uwezo wa kujibu hoja bali kutumia mkono wa Serikali (hii nadhani anamaanisha dola) kupush agenda zao lakini sio uwezo wa kuelezea.
Hii appreciation ya mkongwe huyu inatupa picha gani?
View attachment 2739294