Mzee Cleopa Msuya: CHADEMA ni Wachambuzi wa Mambo kwa Kina

Safi sana Mzee wetu Msuya. Mungu akujalie maisha marefu hadi utakaoona unachokiamini kuhudu hoja za Chadema kikizaa matunda na hatimaye Chadema kukamata Dola. Mungu akubariki sana.
 
Chawa watapinga

We are smart people
 
Najivunia kuwa Mfuasi wa Chama makini
 
Msuya ni CHADEMA sema wakati huo hatukuwa na multiparty. Akitumia rasilimali za nchi wa upendeleo maeneo ya kwao akiwa waziri mkuu akiwa waziri wa fedha. Hivyo hivyo na Mtei. Na Mrema naibu Waziri Mkuu. Na Sumaye. Sokoine pekee alikuwa Mzalendo lakini kazungukwa na wakuu wa mashirika ya umma. Waziri Mkuu wote tangu uhuru wametoka huko. Na Waziri wa Fedha, na Elimu. Hakuna cha ajabu wanajitokeza hadharani sasa kuhalamisha madhambi yao ya ukabila huko nyuma
 
Siku zao zinakaribia.
 
Una akili timamu?

Magufuli alipeleka kila kitu Chato, je alikuwa CHADEMA ?

Sasa kika kitu kinaenda Unguja, nanilihii ni CHADEMA?

Hebu acha kuifananisha CHADEMA na tamaa binafsi.

Kwanza wakati Cleopa Msuya anapelela kila kitu kwao, Rais alikuwa wapi kumkemea? Je Rais naye alikuwa wa CHADEMA?
CCM ni Chama Cha Majizi na Mafisadi
 
Inaonyesha hata historia ya nchi yako huifahamu ila una mihemko ya kiccm tena ile ya hoja za vijiweni. Pole!
 
Kwa hiyo Nyerere wakati anaitelekeza Mara,mawaziri wake wanajenga kwao!!!
 
Haogopi maslahi ya uwaziri mkuu kunyofolewa?
 
Ninaona unamsema Paskal kwa kuwa unajua saa hizi amelala.
 
Kwa hiyo Nyerere wakati anaitelekeza Mara,mawaziri wake wanajenga kwao!!!
Exactly! Uone watoto wa Nyerere kina Heche hawayaoni haya kila siku analaumu CCM matundu ya choo kumbe rasilimali zote zilienda CHADEMA.
 
Hehehe
 
sehemu gan pale mwanga kuna maendeleo ambayo msuya aliyapeleka akiwa waziri mkuu, ndio maana kila mara huwa nasema makuwadi ya ccm kwa warabu dpworld akili hamna, ona sasa mmegeuka vibaraka wa warabu kupigia debe mkataba wa kipumbavu halafu mzee msuya aone mnaakili au ujinga.
 
Uzee ni dawa. Ukishazeeka unakuwa mambo mengi unasema kweli. Kuna cku Mama Maria Nyerere walimpandisha jukwaan akawaumbua.
 
Exactly! Uone watoto wa Nyerere kina Heche hawayaoni haya kila siku analaumu CCM matundu ya choo kumbe rasilimali zote zilienda CHADEMA.
kwamba.chadema iliweza kuchukua rasilimali ambazo zinasimamiwa na ccm, ndio maana MZEE MSUYA amewapuuza ccm kwa ujinga wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…