TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Umejuaje kama ana mke/mke yuko hai
Tumia akili
Hatari sana,yaani bado nawaza,jamaa miaka 80,binti miaka 33,ina maana wakati huyu mzee ana miaka 47 huyu binti ndio anazaliwa,kweli utaacha kupata mshtuko wa moyo...?
 


In this life, you only get what you deserve / serve and not what you want!

Zikanyage chief bila kuchoka, kumbuka tu what goes around must come back around!
 
Inawezekana huyu jamaa/Mze alifariki kwa presha ila kwa kuwa demu ni Mpare nina mashaka makubwa sana hapa. Wanawake wa Kipare na wa Kichagga, ni big No no no for me, to hell with them.
 
In this life, you only get what you deserve / serve and not what you want!

Zikanyage chief bila kuchoka, kumbuka tu what goes around must come back around!
Na hapo ndio umegusa penyewe. Every action has a consequence hilo ndio lakutambua.

So msiseme tunawakandia kuwa ni used guds...hayo ni matokeo ya matendo yao so they should deal with it.
 
Kanuni zisizo na shaka kabisa zinasema unapozidi kuwa mzee sana unakuwa kama mtoto (kwahiyo nyinyi mnapo mshangaa yeye anawashangaa sababu anajiona kijana kabisa, huu ndiyo mtihani wa uzee) , yaani unakuwa na akili za kitoto. Kama mmeishi na wazee mtaliona hili, unaweza kuwapelekea watoto wako zawadi kama vile pipi au mfano wake, na yeye akalilia na kama asipopewa ananuna. Binti niliyemzidi miaka kumi na kuendelea au mwanamke aliyenizidi miaka kumi na kuendelea hiki si chakula changu.

Kuna umri nilishamuomba Mola wangu asinifikishe umri huo kama utakuwa hauna manufaa na mimi tena hasa hivi nikiwa na maarifa madogo.
 
Mzee aliamua kuchukua pisi kali.
 
Innalilah, kwa sauti ya shehe Kipoozeo, kuna watu watakufa vifo vibaya mhhhh naam shekhe pengine unaenda kufia kwenye mzigo tena mzigo wenyewe wa mtu hatari sana shekhe Mwenyezi Mungu atunusuru mhhhhhh, ukikasirika vumilia tu maana ndio hakhi yenyewe hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…