Kanuni zisizo na shaka kabisa zinasema unapozidi kuwa mzee sana unakuwa kama mtoto (kwahiyo nyinyi mnapo mshangaa yeye anawashangaa sababu anajiona kijana kabisa, huu ndiyo mtihani wa uzee) , yaani unakuwa na akili za kitoto. Kama mmeishi na wazee mtaliona hili, unaweza kuwapelekea watoto wako zawadi kama vile pipi au mfano wake, na yeye akalilia na kama asipopewa ananuna. Binti niliyemzidi miaka kumi na kuendelea au mwanamke aliyenizidi miaka kumi na kuendelea hiki si chakula changu.
Kuna umri nilishamuomba Mola wangu asinifikishe umri huo kama utakuwa hauna manufaa na mimi tena hasa hivi nikiwa na maarifa madogo.