TANZIA Mzee David Makerege (80) Afariki Dunia Akiwa Chumbani Kwenye Hoteli ya Mbezi Garden Jijini Dar es Salaam

Ukute ni juisi ya 700 na maji ya hill ya 600

Dada chips kavu na mishkaki 3 ya jerojero[emoji23][emoji23][emoji23]
kumbe umekuja kubandika taarifa hii ili mpate jambo la ku joke and jerk off from.

Udhalilishaji uliopitiliza.

Simon Sirro kwa nini uidhalilishe familia ya Mzee Mabeba namna hii?
 
Hapana mkuu, wewe ndio una akili timamu
HUYU MZEE SIYO MCHOVU MIMI NAMFAHAMU ALIWAHI KUWA DODOMA KAMA AFISA KILIMO NA MIFUGO MKOA WA DODOMA NI MSOMI TU WA KUTOSHA NA ALIKUWA NA MGAHAWA WAKE MJI MPYA MAARUFU SANA KWA KUUZA MAZIWA FRESH NA ALIKUWA NA FAMILIA KUBWA TU MMOJA KATI YA BINTI ZAKE ALISOMA NGANZA TATIZO ALIPATA KAZINI BAADA YA WAZIRI MKUU WAKATI ULE SUMAYE ILITOKEA KUTOKUELEWANA AKAACHA KAZI KAMA SIKOSEI
 
Kwani mbinguni umesikia wataingia wenye suti na migauni ya batiki?
 
Ni kweli. Ukisoma vizuri, gemu ilikuwa haijaanza. Walikuwa kwenye maandalizi. Bila shaka babu alibugia Viagra. Sasa umri+Viagra+presha+kisukari=kifo.
mtoto wa 33yrs alipovua tu nguo mbele ya babu inawezekana kama siyo viagra basi babu alipigwa na heart-attack au pressure ya kushuka kwa jinsi mtoto alivyokuwa steki tupu bila makongoro
 
Huyu mzee siyo mchovu kwanza alikuwa Daktari wa mifugo Mkoa wa Dodoma kwenye miaka ya tisini Waziri mkuu Sumaye wakati ule alifanya mabadiliko katika wizara ya kilimo na mifugo, jambo lililomfanya mzee huyu aache kazi au astaafu kabla ya wakati na alikuwa na familia kubwa tu na binti yake mmoja alisoma Nganza Sekondari Mwanza na hapa Dodoma mgahawa wao ulikuwa mji mpya maarufu kwa kuuza maziwa fresh yasiyokuwa na maji. Pole kwa familia na hasa binti yake Suzy na kaka yake Leonard ndiyo ninaowakumbuka
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
[emoji23][emoji28][emoji38][emoji38]
 
Ningekuwa yeye mke nisingetoa hata chozi moja. Hata angekuwa baba yangu nisingetoa hata chozi moja. Tena tungemzika kawaida mno. Akitoka mortuary ni moja kwa moja makaburini au safari mkoani Kwanza kama ni mkristo misa hatosomewa wala ibada ya mzee wa kanisa au katekista. Ni aibu kubwa mno.
 
Huyo binti sio 33 yrs, ni below 25 yrs kwa kumuangalia tu.
ila kama ni yeye kweli
 
Kwani kafanya nini?
Tatizo liko kwenu mlio hai!!!
 
At 80 yrs unataka K?

Wanaume heshimuni mlikotoka sawa??
 
ENDELEENI KULETA KUTANUA MJINI KWA PESA ZA WASTAAFU. Mtavuna mlicho panda
 
Elfu 35?
Sijui chumba alishalipa?
Nauli ya mrembo?
Matumizi wakiwa hapo? Beer, soda maji nk?
Posho ya kumpa mrembo?

Vyote ndani ya elfu 35 tu?
Kuna mobile transactions siku hizi bro,unakwama wapi??:halaf unawaamini vp polisi kuwa kilichokuwepo ndo hicho walichoswma?? Kma Kuna dola 500 waliificha je??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bado mzee ndosi .. ana miaka 70 + anakula vitoto vya miaka 25 . Anakaa kibaha. Lodge anaenda kutafuta tabata. Juzi kamtumia demu wangu 70,000 alafu anajifanya kakosea namba. Naamini siku zake na yey zinahesabika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji23][emoji134]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…